Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Sukuma gangNi akina Nani wanaomchukia?
Mtafute huyu jitombashisho yeye atakutajia kundi lote.Ni akina Nani wanaomchukia?
Jafo je?Nikimuona tyuuh ndalichako, bas moyo wangu unasuuzika.
Wapuuzi tu, mimi huyu ndiye rais wa kwanza kumpenda kwa moyo wangu wote.Mama Mungu akutunze na kukulinda, mipepo michafu iliyoachwa na mwendazake imewavagaa watu. Wameanza kukuchukia bika sababu, hate Safari yako Kenya imewaudhi sana
Ni kweli, mimi sina ushabiki wa vyama lakini ile ilikuwa ni wenda wazimu.75% ya wajumbe hawakuchaguliwa na wananchi
Lisu na Mbowe.wanadai mama anaongozwa na mzimu wa CCM pamoja na Maguguli.Ni akina Nani wanaomchukia?
😂😂 Yani mnajichekesha huku mnalia nyiewatu hovyo sana.Mama Mungu akutunze na kukulinda, mipepo michafu iliyoachwa na mwendazake imewavagaa watu. Wameanza kukuchukia bika sababu, hate Safari yako Kenya imewaudhi sana
TZ hatuna ukabila...msilete hoja hizi halafu wasukuma wakaona wanabaguliwa...ni mbaya Sana...kumbuka wasukuma wako zaidi ya milioni kumi nchi nzima...wanaweza wakiwa wako under social and political attack wakaamua fate ya uongozi wa nchi hiiSukuma gang
Hahahaaa kweli umechanganyikiwa.Kuwe na baraza la mpito
Kama unapenda sana barakoa kamvalishe mumeo.No barakoa as usual hapa ndio nakosana nao kabisa hawa jamaa, mama akiwa Kenya ali observe protocol zote lakini karudi home hataki tena kuvaa
Polepole na bashiru.Alafu awekwe nani? Hebu pendekeza.
Anatakiwa awapige chini aanze wa wapya.. Hawa bado wako na wenge la mwenda zake.Hakuna baraza hapo ni fake
Ni kwa vile hakwenda nao. Sukuma gangMama Mungu akutunze na kukulinda, mipepo michafu iliyoachwa na mwendazake imewavagaa watu. Wameanza kukuchukia bika sababu, hate Safari yako Kenya imewaudhi sana
Hii covid imeisha Tanzania?IKULU,Chamwino Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichokutana leo Mei 06,2021 Ikulu Chamwino Jijini Dodoma.