Ikulu Chamwino: Baada ya kurejea nchini, Rais Samia aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri

Hivyo vitu huwezi kuvipata kwa pamoja,yaani maendeleo na haki havikai nyumba moja🀣🀣🀣
 
TZ hatuna ukabila...msilete hoja hizi halafu wasukuma wakaona wanabaguliwa...ni mbaya Sana...kumbuka wasukuma wako zaidi ya milioni kumi nchi nzima...wanaweza wakiwa wako under social and political attack wakaamua fate ya uongozi wa nchi hii
Hili halina mjadala kwa sababu kinara wenu amekufa leo ndio mnajifanya nchi haina ukabila sio?aliyo kuwa akiyafanya wakati mzima hayakuwa ya kikabila kujaza jina kabula na kina mabula kwenyw ofisi za umma
 
Nyumbu wameachana na Lisu sasa hivi wanatimua mbio kuelekea ccm kwa mama Samia.
Ulifikiri watu wanachukulia siasa kama ligi ya mpira?
Watu tunataka maendeleo ya nchi ndiyo maana tunasapoti kiongozi akifanya vizuri na tunapiga nyundo akizingua
 
Mama Mungu akutunze na kukulinda, mipepo michafu iliyoachwa na mwendazake imewavagaa watu. Wameanza kukuchukia bika sababu, hate Safari yako Kenya imewaudhi sana

Hivi hapo ndani ya mjengo wa Chamwino Mama analala chumba cha Jiwe au anakiogopa wamempatia chumba cha wageni?...nawaza ingekuwa mimi ninavyoogopa kifo ningerudisha makao makuu Dar es salaam ili nilale nyumbani kwangu nisiambukizwe kifo
 
Hili halina mjadala kwa sababu kinara wenu amekufa leo ndio mnajifanya nchi haina ukabila sio?aliyo kuwa akiyafanya wakati mzima hayakuwa ya kikabila kujaza jina kabula na kina mabula kwenyw ofisi za umma
Wakati wa Nyerere kulikuwa na gang gani? Na kwa Mwinyi? Kwa Mkapa? Kwa kikwete? Na kwa Samia ni gang lipi?
 
Mama Mungu akutunze na kukulinda, mipepo michafu iliyoachwa na mwendazake imewavagaa watu. Wameanza kukuchukia bika sababu, hate Safari yako Kenya imewaudhi sana
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Tusimsingizie mtu. Wanadamu ndivyo tulivyo
Namuombea sana Mama aongoze nchi kwa hekima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…