Wewe inaonyesha hata haujitambui unahitaji nini katika nchi hii, upo upo tu kama nyumbu wa serengeti na kenya. Pole mwache rais wetu atuletee maendeleo bhanaMama Mungu akutunze na kukulinda, mipepo michafu iliyoachwa na mwendazake imewavagaa watu. Wameanza kukuchukia bika sababu, hate Safari yako Kenya imewaudhi sana
Kaka dada akoWe ni mpuuzi sana
No ni uharifu tupuAtalichagua nani? Na muda nao unakuacha tuu upite
Majaliwa alichaguliwa na nani? Ndugai, Paulina n.kChadema kuweni wananchi muanze kuchagua viongozi siyo kupinga pinga kila kitu.
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Most likely atakuwa anatoa mrejesho wa mazungumzo kati ya raisi wa Kenya kuhusu EPA (Economic Parnership Agreement) ambao kiufupi ni mkataba wa EU (European Union) ulioingiwa na Kenya ili kuruhusu bidhaa kutoka EU ziingie nchini tariff free. Bidhaa hizo ni asilimia 82.6% ya bidhaa zilizokubaliwa kuingia ukanda wa EAC customs union huku asilimia 17.4% ya bidhaa ni zile zisizoruhusiwa kuingia nchini ili kulinda viwanda vya ndani. Kenya hapa ni kama dalali wa EAC.
Mama Mungu akutunze na kukulinda, mipepo michafu iliyoachwa na mwendazake imewavagaa watu. Wameanza kukuchukia bika sababu, hate Safari yako Kenya imewaudhi sana
Linachaguliwa kutoka wapi mkuu, kwa sababu hata hivyo Tatizo siyo baraza, tatizo ni kule baraza linakopatikana, Dom kule!Kuwe na baraza la mpito
Bila katiba mpaya na tume huru ya uchaguzi hakuna kitu kitaenda sawaLinachaguliwa kutoka wapi mkuu, kwa sababu hata hivyo Tatizo siyo baraza, tatizo ni kule baraza linakopatikana, Dom kule!
Kwa maoni yangu mkuu, kuvunja bunge ni mzigo mkubwa kwa nchi kwa sasa, labda kwa kuwa mazaa ameshashika usukani, apige chini machawa na mchwa wote wa previous regime, alete machawa na mafunza wake, which is kitu kile kile in different color! #☝️People ☝ccm!
Na kwa namna yoyote, sitatoa SIRI ya baraza la mawaziri! Labda ujaribu kwa bhana Mkumbaro, kama atakuhurumia, akumegee kakipande, ila ni kazi ya Bashungua!
Huyu Mazaa huenda akatupeleka kwenye ‘nnji’ hiyo ya madhiwa na athali, walikoshindwa wanaume wote kutupeleka!Bila katiba mpaya na tume huru ya uchaguzi hakuna kitu kitaenda sawa
Mfumo umekaa vibaya snHuyu Mazaa huenda akatupeleka kwenye ‘nnji’ hiyo ya madhiwa na athali, walikoshindwa wanaume wote kutupeleka!
Pia kikubwa kuhusu Mazaa, hatawaziba midomo watu wasitoe madukuduku yao! Hizi ni enzi za kupaza sauti zetu, very loud and clear!Mfumo umekaa vibaya sn
Kweli aseePia kukubwa kuhusu Mazaa, hatawaziba midomo watu wasitoe madukuduku yao! Hizi ni enzi za kupaza sauti zetu, very loud and clear!
Hayo ni maono yako, nampenda ndalichako personal, na sio vinginevyo.Kumbe kuna watu mnawekeza roho zenu kwenye misuk.....
Watashindwa na kulegea!Mama Mungu akutunze na kukulinda, mipepo michafu iliyoachwa na mwendazake imewavagaa watu. Wameanza kukuchukia bika sababu, hate Safari yako Kenya imewaudhi sana.
Mbowe na Sugu wawepo sio?Kuwe na baraza la mpito