johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mzee wa Tukutuku!
Akambane Mo vizuri sasa zile bil 20.Mzee wa Tukutuku!
Kuna vitu vinakufanya ujue uwezo wa mtu, huyu mama kuna uwezekano kabebwa kubalansi genda.Naibu waziri wa fedhaaaaa....
Mimi hua naitafasiri kama namna ya kuwajengea wengine hofu. Tena utii uliojaa hofu kuuViapo katika nchi za kiafrica ni Formality tu...essence hakuna mana baada ya viapo kile kiapo badala ya kubaki kichwani hukimbilia tumboni!!
Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
Atawapa akiwa anaondoka ukumbini sema wewe hujui protocol za kiserkal umezoea maandamano na maji mkononi
Mkuu, ebu jisemee wewe na familiayako usituunganishe wengine kwenye mambo ya ajabuhatutegemei kuwa Mhe. Rais kabahatisha ktk kuwateua mawaziri na manaibu waziri ktk baraza hili wananchi wanaamini kabisa umefanyika uteuzi makini ktk kila nafasi, sisi wananchi tunaimani kubwa ktk utendaji wenye kasi na viwango
"Tarehe 25 saa nne asubuhi na mapema, tunachukua nchi!" Mwisho wa kunukuu! Dah! Safari ya Matumaini!Lowasa alisema
Elimu Elimu Elimu
This is an accidental truth! Ukisikiliza viapo vyao wanasema watamshauri Rais! It means fundi ni mmoja tu. Hapo upo!!?? Wapishi wengi huharibu "MJUSI"Ukweli mchungu ni kwamba hao mawaziri ni geresha tu,mtu mmoja ndiye Rais na waziri wa wizara zote!View attachment 1645266
Itakuwa wewe ndiye mwenye matatizo ya kusikiaInakuaje mawaziri/ manaibu waziri wengine wanashindwa kusoma kilichoandikwa ili kuapa?Ni hawajui kusoma au wana matatizo ya macho au hofu??
Hii inatia mashaka uwezo wao kama wako sawa.
Sijajua wanakumbwa na nini. Kama ni uoni hafifu basi wangekuwa na miwani ila hawa inaonekana wana hofu sijui.Inakuaje mawaziri/ manaibu waziri wengine wanashindwa kusoma kilichoandikwa ili kuapa?Ni hawajui kusoma au wana matatizo ya macho au hofu??
Hii inatia mashaka uwezo wao kama wako sawa.