Ikulu, Chamwino: Rais Magufuli aapisha Baraza la Mawaziri. Awapunguzia adhabu wafungwa waliohukumiwa kunyongwa

Naona Dr Mollel, Waitara, Silinde, Gekui na Katambi wamekula kiapo kwa kuongozana.

Chadema oyeeee!
 
Huyu naibu waziri wa fedha alifanyiwa vetting au ni kubalansi genda?
Anashindwa hata kusoma vizuri kilichoandikwa ili kuapa.
 
Kuna mtu nasubiri kusikia atakavyo foka....😂😂
 
hatutegemei kuwa Mhe. Rais kabahatisha ktk kuwateua mawaziri na manaibu waziri ktk baraza hili wananchi wanaamini kabisa umefanyika uteuzi makini ktk kila nafasi, sisi wananchi tunaimani kubwa ktk utendaji wenye kasi na viwango
 
Mkuu, ebu jisemee wewe na familiayako usituunganishe wengine kwenye mambo ya ajabu
 
Inakuaje mawaziri/ manaibu waziri wengine wanashindwa kusoma kilichoandikwa ili kuapa?Ni hawajui kusoma au wana matatizo ya macho au hofu??
Hii inatia mashaka uwezo wao kama wako sawa.
 
Sijajua wanakumbwa na nini. Kama ni uoni hafifu basi wangekuwa na miwani ila hawa inaonekana wana hofu sijui.
 
Huyu Ndalichako jaman mmmmmh hapan kwa kweli lol.
 
Back
Top Bottom