Ikulu, Chamwino: Rais Magufuli aapisha Baraza la Mawaziri. Awapunguzia adhabu wafungwa waliohukumiwa kunyongwa

Ikulu, Chamwino: Rais Magufuli aapisha Baraza la Mawaziri. Awapunguzia adhabu wafungwa waliohukumiwa kunyongwa

Wakuu Salaam,

Jana Mh. Rais kwa mamlaka aliyonayo amewafutia adhabu ya kifo wafungwa zaidi ya 200 waliokuwa wanasubiri kutekelezwa kwa adhabu hiyo na ni mara ya pili binafsi nimemsikia Mh. Rais akizungumza juu ya adhabu hii kuwa na kuonyesha hayuko tayari kuitekeleza maana dhamiri yake inamwambia si jambo sahihi kulifanya.

Binafsi namuunga mkono kwenye hilo maana kama sheria inasema kuua mtu ni kosa sasa kwa nn sheria nyingine tena imruhusu mtu mwingine kuua na mbaya zaidi inamruhusu kuua wengi sana kama Mh. Rais alivyogusia, lakini pia kutuoa uhai wa mwanadamu mwenzako katika mazingira yoyote yale si jambo dogo na jepesi.

Ni wakati sasa sheria hii ikafutwa na hukumu ya juu kabisa ibaki kifungo cha maisha, Mwigulu Nchemba Mheshimiwa waziri wa Sheria jambo hili limekaaje kwa upande wako au kuna mchakato unaendelea?

Cc: Pascal Mayalla
 
Mchungaji Wilbrod Mastai wa Kanisa la KKKT Kimara amempongeza na kumbariki Rais Magufuli kwa kukataa kusaini hati za hukumu ya kifo na kuzibadili kuwa vifungo vya maisha.

" Msihukumu msije mkahukumiwa" amesisitiza mchungaji Matsai.

Mchungaji Matsai amesema Rais Magufuli ametenda jambo jema machoni pake Mungu kwani ndiye anayetupa uhai.

Source:
Upendo tv

Nawatakia Dominica yenye baraka!
 
Lakini Rais wetu nae anapenda kiki sijapata kuona! Kumbukumbu zinaonesha rais wa mwisho Tanzania kusaini hati za za kunyonga ni Mwinyi lakini si Mkapa wala Kikwete aliyewahi kunyonga mtu! Hata hivyo, wala hawakupiga kelele kuieleza dunia yote kwamba wanajisikia vibaya kusaini hati za vifo.
 
Kwani yeye ndye wakwanza kuto sign? Tujiyulize, hivi JK alinyonga wangapi? Mkapa je naye alinyonga wangapi?

Pia tujiulize awamu hii wametekwa, kuuwawa na kuokotwa baharini wangapi?
 
Kuna tofauti kubwa kati ya Kusamehe adhabu ya kifo na Kutotekeleza adhabu ya kifo.

Je, Mkapa na Kikwete walisamehe?

Au ndio wote wa kuanzia kwa Mkapa hadi sasa ndio Rais Magufuli amewasamehe!
 
Kwani yeye ndye wakwanza kuto sign? Tujiyulize, hivi JK alinyonga wangapi? Mkapa je naye alinyonga wangapi?

Pia tujiulize awamu hii wametekwa, kuuwawa na kuokotwa baharini wangapi?
Kutonyonga haimaanishi kwamba waliwasamehe!
 
Huyo jamaa anakula hela za wachagga wa hapo Kimara Mbezi acha kabisa....

Sijui watu wanapata wap hela za kugawa hivo aisee.. dah....
jamaa ana uchawi wa kinaigeria
halafu fisadi kishenzi , miradi yote ya ujenzi inayofanywa hapo kanisani inafanywa na kampuni yake chini ya usimamizi wa mdogo wake
kanisa la kimara kalibinafsisha kalifanya kama mali yake binafsi
Anaiba hela za kanisa anaenda kujenga ma apartment yake uko mbezi beach
 
Bwashee una ushahidi kwa hizi tuhuma nzito unazotoa?
 
Praise team at work! Kwani huyu jiwe ndiye wa kwanza kutotia saini ya kunyonga watu?

Tangu Uhuru wamenyongwa watu 3 tu enzi za Mwalimu Nyerere. Wengine wote hawajawahi kunyonga.

Sasa huyu jiwe anajibembeleza kwa wananchi kutaka sifa pasipo na sifa
 
Kuna tofauti kubwa kati ya Kusamehe adhabu ya kifo na Kutotekeleza adhabu ya kifo.

Je, Mkapa na Kikwete walisamehe?

Au ndio wote wa kuanzia kwa Mkapa hadi sasa ndio Rais Magufuli amewasamehe!
Ulishawahi kuwasikia wakitangaza kutonyonga mtu?! Ulishawahi kuwasikia kutangaza kuwaachia baadhi ya watu maarufu kwenye jamii kama ambavyo Rais Magufuili alivyokuwa ametangaza kuwaachia akina Babu Seya?! Au unadhani nao hawakuwahi kutoa msamaha kwa watu maarufu? Usikute hata wao walishawahi kuwafutia watu adhabu ya kifo lakini hawakupiga kelele kwa sababu wakati mwingine hizi kelele zinawakera waathirika! Pata picha mtu anabaka mtoto kisha anamuua halafu unautangazia ulimwengu kwamba umemfutia adhabu ya kifo! Unadhani waathirika watajisikiaje?! Kama kweli umeguswa na ubinadamu kwanini usifanye tu kimya kimya!!
 
jamaa ana uchawi wa kinaigeria
halafu fisadi kishenzi , miradi yote ya ujenzi inayofanywa hapo kanisani inafanywa na kampuni yake chini ya usimamizi wa mdogo wake
kanisa la kimara kalibinafsisha kalifanya kama mali yake binafsi
Anaiba hela za kanisa anaenda kujenga ma apartment
Mkuu hapa duniani ukiwa fala umependa mwenyewe...
KKT sijiu wanakwama wapi.. yani huko kuna hadi sachungaji wa kujitegemea ...
yake uko mbezi beach
 
Kwani yeye ndye wakwanza kuto sign? Tujiyulize, hivi JK alinyonga wangapi? Mkapa je naye alinyonga wangapi?

Pia tujiulize awamu hii wametekwa, kuuwawa na kuokotwa baharini wangapi?
pinga pinga kwenye ubora wenu!!!
Vipi leo zam yako mkuu??😂😂😃
 
Nachopendea zaidi kwenye hotuba za Magufuli wakati wa uapisho

Moja: Ni pale anapoeleza sifa 'merits' za mtu aliyemteua

Mbili: Mapungufu/Changamoto/ama Fursa zilizopo ambazo mteule anatakiwa kwenda kuzifanyia kazi
Okay
 
Back
Top Bottom