Ikulu, Chamwino: Rais Magufuli ateua Baraza la Mawaziri lenye Wizara 23. Aunda Wizara mpya ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

Mawaziri wapya Dec 2020

1.Maji -Juma Aweso
2.Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo- Innocent Bashungwa
3.ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Vijana na wenye ulemavu Jenister Mhagama
4.Waziri wa Afya, maendeleo ya jamii,jinsia na watoto Doroth Gwajima (Mbunge mpya alikuwa naibu nkatibu mkuu)
5.Wizara anayesimamia Uwekezaji ofisi ya Rais Mkumbo Kitilya
6.Wizara ya Katiba na sheria Mwigulu Nchemba
7.Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof Joyce Ndalichako
8.Mifugo na Uvuvi - Mashimba Mashauri Ndaki
9.Maliasili na Utalii DK Ndumbalo Damas
10.Ofisi ya Rais TAMISEMI Suleiman Jaffo
11.Madini Dotto Biteko
12.Nishati Dkt Medard Kalemani
13.Ujenzi na Uchukuzi mbunge mpya Mhandisi Dkt Leonard Chamuliho (alikuwa Katibu Mkuu Uchukuzi)
14.Kilimo Prof.Adolph Mkenda.
15.Viwanda na Biashara Mwambie Geofrey Idelphonce
16.Mambo ya ndani George Simbachawene
17.Muungano na MAZINGIRA Ummy Mwalimu
18.Wizara mpya ya Mawasiliano na Teknolojia ya habari Dkt Faustine Ndugulile
19.Fedha Dkt Philip Mpango
20.Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof Paramagamba Kabudi
21 Ardhi-William Lukuvi
22.Ulinzi na JKT Elias John Kuandikwa
23.Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Capt Mstaafu George Mkuchika
 
Uzushi huu
[/QUOTE]
Uzushi kwa sababu haupo kwenye list? Wewe ni waziri wa Lumumba JF.
 
Waswahili na kujipendekeza kote baraza lenye mawaziri 23 waislamu ni waratu tu
Haijawahi kutokea tangu Uhuru wa nchi hii
 
Huyu msukuma anatuharibia nchi aisee yaan mtu na mkewe unawateua maana ubunge wa Gwajiboy tunajua kabebwa tu Leo Tena mke wake uwaziri daaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…