kidadari
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 8,647
- 9,604
Wengi wanatoka kannda pendwa....so tegemea mengi malalamiko ni mengi piaWaswahili na kujipendekeza kote baraza lenye mawaziri 23 waislamu ni waratu tu
Haijawahi kutokea tangu Uhuru wa nchi hii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wengi wanatoka kannda pendwa....so tegemea mengi malalamiko ni mengi piaWaswahili na kujipendekeza kote baraza lenye mawaziri 23 waislamu ni waratu tu
Haijawahi kutokea tangu Uhuru wa nchi hii
Bado kuna masalia ya kutosha ....na updates nyingi kinyama....si unajua mzee baba hamalizago teuzi.
.....wameshatajwa pia!!
jafo juma aweso na ummy wamebatizwa au acha udiniHamisi kanyimwa wadhifa kwa sababu Waislamu MARUFUKU kwenye hili Baraza haramu la mawaziri.
From home of great thinkers to home of xxcccfmv!Jf siku hizi ina watu na viatu!
......kwani hawapo katika BARAZA?!!Magu kawanyoosha Waislam hahahhaa. Chadema Oyeeee
Unaongea kwa uhakika kama wewe ndo mteuzi,haya kamteueMkuu wachagga watabaki kuwa wachagga. Fanya ufanyalo pinduka Kimei anaingia Cabinet.
Shukuru Kawambwa.Kwani lazima wawepo?
Makabila 126 yataingiaje kwenye cabinet ya watu 30 or 40?
Msijikweze sana maana inawezekana kuna Makabila tangu uhuru hayajawahi kutoa walau Naibu Waziri
Ukiondoa Jakaya kuna Mkwere kishawahi kuwa Waziri au Naibu waziri tangu uhuru? Mbona tupo kimya tu
Matangazo ya moja kwa moja kutoka Ikulu, Chamwino mkoani Dodoma kuhusu Uteuzi uliyofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli leo tarehe 05 Desemba 2020
========
Rais Magufuli pia amewateua
=> Rais Magufuli amemteua Ummy Mwalimu kuwa waziri wa Muungano na Mazingira
=>Rais amemteua Angelina Mabula kuwa Naibu Waziri wa Ardhi
=>Rais Magufuli amemteua Mashimba Ndaki kuwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi
=>Pia, amemteua Seleman Jafo kuwa Waziri wa TAMISEMI
=>Rais Magufuli amemteua Prof. Adolf Mkenda kuwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi
=> Pia, amemteua George Simbachawene kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani
=>Rais Magufuli amemteua Ndumbaro Damas kuwa Waziri wa Maliasili na Utalii
=>Medard Kalemani ameteuliwa kuwa Waziri wa Nishati
=>Rais Magufuli amemteua Mwigulu Nchemba kuwa Waziri wa Katiba na Sheria
=> Joyce Ndalichako ameteuliwa kuwa Waziri wa Elimu
=>Rais Magufuli amemteua kuwa Mbunge Gwajima Doroth na pia amemteua kuwa Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii na Watoto
=>Rais Magufuli amemteua Dotto Biteko kuwa Waziri wa Madini
=> Faustine Ndugulile ameteuliwa kuwa Waziri wa Wizara Mpya ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
====
1.Maji -Juma Aweso
2.Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo- Innocent Bashungwa
3.ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Vijana na wenye ulemavu Jenister Mhagama
4.Waziri wa Afya, maendeleo ya jamii,jinsia na watoto Doroth Gwajima (Mbunge mpya alikuwa naibu nkatibu mkuu)
5.Wizara anayesimamia Uwekezaji ofisi ya Rais Mkumbo Kitilya
6.Wizara ya Katiba na sheria Mwigulu Nchemba
7.Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof Joyce Ndalichako
8.Mifugo na Uvuvi - Mashimba Mashauri Ndaki
9.Maliasili na Utalii DK Ndumbalo Damas
10.Ofisi ya Rais TAMISEMI Suleiman Jaffo
11.Madini Dotto Biteko
12.Nishati Dkt Medard Kalemani
13.Ujenzi na Uchukuzi mbunge mpya Mhandisi Dkt Leonard Chamuliho (alikuwa Katibu Mkuu Uchukuzi)
14.Kilimo Prof.Adolph Mkenda.
15.Viwanda na Biashara Mwambie Geofrey Idelphonce
16.Mambo ya ndani George Simbachawene
17.Muungano na MAZINGIRA Ummy Mwalimu
18.Wizara mpya ya Mawasiliano na Teknolojia ya habari Dkt Faustine Ndugulile
19.Fedha Dkt Philip Mpango
20.Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof Paramagamba Kabudi
21 Ardhi-William Lukuvi
22.Ulinzi na JKT Elias John Kuandikwa
23.Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Capt Mstaafu George Mkuchika.
Matangazo ya moja kwa moja kutoka Ikulu, Chamwino mkoani Dodoma kuhusu Uteuzi uliyofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli leo tarehe 05 Desemba 2020
========
Rais Magufuli pia amewateua kuwa Wabunge Dkt. Doroth Gwajima(Alikuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Afya) na Dkt. Leonard Chamuliho (alikuwa Katibu Mkuu Uchukuzi).
Pia Rais Magufuli ameunda Wizara mpya ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari.
Orodha ya Mawaziri kama ilivyotangazwa na Katibu Mkuu Kiongozi.

You are right !....huyo ni SHOCKABSORBER
Experience kubwa toka awamu ya kwanza na ualimu wa siasa Jeshini...
He is a THINK TANK...
ngoja tuone ha ha ha haYule kingwangala alie kua ana tuambia tuka jiajiri simuoni apo.au ndo kaenda kujiajiri
unafikiri yeye ni kama wewe usiye sebure.Hiyo ni jirani yangu hapa kunduchi sheikhSi mpaka uwe na hiyo sebule......kuwa na sebule sio masihara.
Acha uongo wewe mbona mkoa wa Tanga kateua mawaziri kamili wawili tena wote waislamMagu kawanyoosha Waislam hahahhaa. Chadema Oyeeee
👍You are right !
Matangazo ya moja kwa moja kutoka Ikulu, Chamwino mkoani Dodoma kuhusu Uteuzi uliyofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli leo tarehe 05 Desemba 2020
========
Rais Magufuli pia amewateua kuwa Wabunge Dkt. Doroth Gwajima(Alikuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Afya) na Dkt. Leonard Chamuliho (alikuwa Katibu Mkuu Uchukuzi).
Pia Rais Magufuli ameunda Wizara mpya ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari.
Orodha ya Mawaziri kama ilivyotangazwa na Katibu Mkuu Kiongozi.
=> Rais Magufuli amemteua Ummy Mwalimu kuwa waziri wa Muungano na Mazingira
=>Rais amemteua Angelina Mabula kuwa Naibu Waziri wa Ardhi
=>Rais Magufuli amemteua Mashimba Ndaki kuwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi
=>Pia, amemteua Seleman Jafo kuwa Waziri wa TAMISEMI
=>Rais Magufuli amemteua Prof. Adolf Mkenda kuwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi
=> Pia, amemteua George Simbachawene kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani
=>Rais Magufuli amemteua Ndumbaro Damas kuwa Waziri wa Maliasili na Utalii
=>Medard Kalemani ameteuliwa kuwa Waziri wa Nishati
=>Rais Magufuli amemteua Mwigulu Nchemba kuwa Waziri wa Katiba na Sheria
=> Joyce Ndalichako ameteuliwa kuwa Waziri wa Elimu
=>Rais Magufuli amemteua kuwa Mbunge Gwajima Doroth na pia amemteua kuwa Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii na Watoto
=>Rais Magufuli amemteua Dotto Biteko kuwa Waziri wa Madini
=> Faustine Ndugulile ameteuliwa kuwa Waziri wa Wizara Mpya ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
====
1.Maji -Juma Aweso
2.Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo- Innocent Bashungwa
3.ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Vijana na wenye ulemavu Jenister Mhagama
4.Waziri wa Afya, maendeleo ya jamii,jinsia na watoto Doroth Gwajima (Mbunge mpya alikuwa naibu nkatibu mkuu)
5.Wizara anayesimamia Uwekezaji ofisi ya Rais Mkumbo Kitilya
6.Wizara ya Katiba na sheria Mwigulu Nchemba
7.Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof Joyce Ndalichako
8.Mifugo na Uvuvi - Mashimba Mashauri Ndaki
9.Maliasili na Utalii DK Ndumbalo Damas
10.Ofisi ya Rais TAMISEMI Suleiman Jaffo
11.Madini Dotto Biteko
12.Nishati Dkt Medard Kalemani
13.Ujenzi na Uchukuzi mbunge mpya Mhandisi Dkt Leonard Chamuliho (alikuwa Katibu Mkuu Uchukuzi)
14.Kilimo Prof.Adolph Mkenda.
15.Viwanda na Biashara Mwambie Geofrey Idelphonce
16.Mambo ya ndani George Simbachawene
17.Muungano na MAZINGIRA Ummy Mwalimu
18.Wizara mpya ya Mawasiliano na Teknolojia ya habari Dkt Faustine Ndugulile
19.Fedha Dkt Philip Mpango
20.Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof Paramagamba Kabudi
21 Ardhi-William Lukuvi
22.Ulinzi na JKT Elias John Kuandikwa
23.Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Capt Mstaafu George Mkuchika.
Acha uongo mawaziri waislamu wako zaidi ya 15 hesabu upyaWaswahili na kujipendekeza kote baraza lenye mawaziri 23 waislamu ni waratu tu