Tajiri_Mtoto
Member
- Jul 14, 2018
- 8
- 16
Dr. Wa Madigrii Manne chali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
....Baraza ni zuri...limebalance mahitaji,malengo na kasi ya AWAMU HII.....Mkuu si huyu huyu jiwe aliyewanunua Madiwani na Wabunge na baadhi kuwapa vyeo ndani ya Serikali? Au kuna jiwe mwingine? Chadema wangapi kwenye hili Baraza Haramu la Mawaziri? Wafia chama wangapi unadhani watakuwa wamenuna?
Tangu awamu ya kwanza yupo tuGeorge Mkuchika daa sijui ana bahati au utendaji wake ni bora sana, hongera zao anatumia utu uzima wake kwahekima sana
Zipi?Acha hizo wewe
Dr.Mwigulu Nchemba Waziri wa Katiba na Sheria.
Wataje. Unajilisha upepoTyliza mshono hao ni kwa mkoa mmoja tu jumla wako zaidi ya 15
Bashe na kigwa outMatangazo ya moja kwa moja kutoka Ikulu, Chamwino mkoani Dodoma kuhusu Uteuzi uliyofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli leo tarehe 05 Desemba 2020
========
Rais Magufuli pia amewateua kuwa Wabunge Dkt. Doroth Gwajima(Alikuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Afya) na Dkt. Leonard Chamuliho (alikuwa Katibu Mkuu Uchukuzi).
Pia Rais Magufuli ameunda Wizara mpya ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari.
Orodha ya Mawaziri kama ilivyotangazwa na Katibu Mkuu Kiongozi.
=> Rais Magufuli amemteua Ummy Mwalimu kuwa waziri wa Muungano na Mazingira
=>Rais amemteua Angelina Mabula kuwa Naibu Waziri wa Ardhi
=>Rais Magufuli amemteua Mashimba Ndaki kuwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi
=>Pia, amemteua Seleman Jafo kuwa Waziri wa TAMISEMI
=>Rais Magufuli amemteua Prof. Adolf Mkenda kuwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi
=> Pia, amemteua George Simbachawene kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani
=>Rais Magufuli amemteua Ndumbaro Damas kuwa Waziri wa Maliasili na Utalii
=>Medard Kalemani ameteuliwa kuwa Waziri wa Nishati
=>Rais Magufuli amemteua Mwigulu Nchemba kuwa Waziri wa Katiba na Sheria
=> Joyce Ndalichako ameteuliwa kuwa Waziri wa Elimu
=>Rais Magufuli amemteua kuwa Mbunge Gwajima Doroth na pia amemteua kuwa Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii na Watoto
=>Rais Magufuli amemteua Dotto Biteko kuwa Waziri wa Madini
=> Faustine Ndugulile ameteuliwa kuwa Waziri wa Wizara Mpya ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
====
1.Maji -Juma Aweso
2.Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo- Innocent Bashungwa
3.ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Vijana na wenye ulemavu Jenister Mhagama
4.Waziri wa Afya, maendeleo ya jamii,jinsia na watoto Doroth Gwajima (Mbunge mpya alikuwa naibu nkatibu mkuu)
5.Wizara anayesimamia Uwekezaji ofisi ya Rais Mkumbo Kitilya
6.Wizara ya Katiba na sheria Mwigulu Nchemba
7.Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof Joyce Ndalichako
8.Mifugo na Uvuvi - Mashimba Mashauri Ndaki
9.Maliasili na Utalii DK Ndumbalo Damas
10.Ofisi ya Rais TAMISEMI Suleiman Jaffo
11.Madini Dotto Biteko
12.Nishati Dkt Medard Kalemani
13.Ujenzi na Uchukuzi mbunge mpya Mhandisi Dkt Leonard Chamuliho (alikuwa Katibu Mkuu Uchukuzi)
14.Kilimo Prof.Adolph Mkenda.
15.Viwanda na Biashara Mwambie Geofrey Idelphonce
16.Mambo ya ndani George Simbachawene
17.Muungano na MAZINGIRA Ummy Mwalimu
18.Wizara mpya ya Mawasiliano na Teknolojia ya habari Dkt Faustine Ndugulile
19.Fedha Dkt Philip Mpango
20.Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof Paramagamba Kabudi
21 Ardhi-William Lukuvi
22.Ulinzi na JKT Elias John Kuandikwa
23.Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Capt Mstaafu George Mkuchika.
Hewala yakheh......kwani hawapo katika BARAZA?!!
Mnataka nini zaidi?!!
Watu huteuliwa kwa SIFA NA CV ZAO...
Kalaghabaho
Si mmemwajiri kwa kumpa ubunge? Sasa ajira gani unataka apate!Yule kingwangala alie kua ana tuambia tuka jiajiri simuoni apo.au ndo kaenda kujiajiri
Ummy mkristo? Aweso mkristo? Acha uchochezi
Atakuwa nalakeUmmy mkristo? Aweso mkristo? Acha uchochezi
Halafu nawe unawaza kuna siku utakabidhiwa Tanzania kama kiongozi, kwa fikira hii, hata "unywe gongo ya mapapai" huwezi kuwa!! Umejitakia mwenyewe laana hii. Hakuna namna.Kwa haraka nusu ya Mawaziri ni watu ya Kanda ya ziwa na karibu 90% ni Wakristu. CCM Oyee😂🏃🏃🏃
Bongo kuna habari gani?Kabisa mkuu