wa kwetu shinyanga.Ulinzi na JKT Elias John Kuandikwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wa kwetu shinyanga.Ulinzi na JKT Elias John Kuandikwa
Matangazo ya moja kwa moja kutoka Ikulu, Chamwino mkoani Dodoma kuhusu Uteuzi uliyofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli leo tarehe 05 Desemba 2020
========
Rais Magufuli pia amewateua kuwa Wabunge Dkt. Doroth Gwajima(Alikuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Afya) na Dkt. Leonard Chamuliho (alikuwa Katibu Mkuu Uchukuzi).
Pia Rais Magufuli ameunda Wizara mpya ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari.
Orodha ya Mawaziri kama ilivyotangazwa na Katibu Mkuu Kiongozi.
1. Wizara ya Maji - Juma Aweso
2. Wizara ya Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo - Innocent Bashungwa
3. Wizara ya Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Vijana na wenye ulemavu - Jenister Mhagama
4. Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto - Dkt. Doroth Gwajima
5. Wizara ya Uwekezaji ofisi ya Rais - Profesa Mkumbo Kitila
6. Wizara ya Katiba na Sheria - Dkt. Mwigulu Nchemba
7. Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia - Profesa Joyce Ndalichako
8. Wizara ya Mifugo na Uvuvi -Mashimba Mashauri Ndaki
9. Wizara ya Maliasili na Utalii - Dkt. Ndumbalo Damas
10. Ofisi ya Rais TAMISEMI -Suleiman Jaffo
11. Wizara ya Madini - Dotto Biteko
12. Wizara ya Nishati - Dkt. Medard Kalemani
13. Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi - Mhandisi Dkt Leonard Chamuliho
14. Wizara ya Kilimo - Profesa Adolph Mkenda.
15. Wizara Viwanda na Biashara - Mwambie Geofrey Idelphonce
16.Wizara ya Mambo ya Ndani - George Simbachawene
17. Wizara ya Muungano na Mazingira - Ummy Mwalimu
18. Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya habari - Dkt Faustine Ndugulile
19. Wizara ya Fedha na Mipango - Dkt. Philip Mpango
20.Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki - Profesa Paramagamba Kabudi
21. Wizara ya Ardhi na Makazi -William Lukuvi
22. Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa - Elias John Kwandikwa
23. Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora - Capt Mstaafu George Mkuchika
Ndani yule mganga wa jadi,H.kigwangala,Teh teh amna kitu kina choma kama wahamiaji kuula afu wenyeji kutoswa
Kwani kafanyaje? Mbona mkuku mkuku??
....itafika siku BARAZA ZIMA wawe akina mama...Nasikitika jinsia haikuzingatiwa kabisa
Chuki utakuwa nazo wewe mkuu, ila mie simo kwenye migongano ya diniVigezooooooo!!!!
Unamaanisha Tanzania nzima kuna waislamu watatu tu Ndio wanakidhi Vigezo vya kua mawaziri???
Anyway I feel sorry kwa waswahili wenzangu waliokuwa wanamshadadia mtu anaeonyesha chuki za dhahiri kwetu
Huyu msukuma anatuharibia nchi aisee yaan mtu na mkewe unawateua maana ubunge wa Gwajiboy tunajua kabebwa tu Leo Tena mke wake uwaziri daaah
Mmeachana na habari ya wakina mama wabunge Covid-19 mnahamia kwenye udini! Wabongo bhana !Waswahili na kujipendekeza kote baraza lenye mawaziri 23 waislamu ni waratu tu
Haijawahi kutokea tangu Uhuru wa nchi hii
Ni huyo huyoHuyu Dr. Gwajima kama ni Doroth kaipambania sana hii nafasi
Katambi,Masanja wale manaibu waziri. Faustin Ndugulile .....Biteko
Kalemani
Kwandikwa
Gwajima
Mashimba
Mabula
Labda hao wote wameokoka bado kuwa batiza tu maji mengiJuma aweso...ummy mwalimu na suleman jafo hawo nao wakristo???????
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Matangazo ya moja kwa moja kutoka Ikulu, Chamwino mkoani Dodoma kuhusu Uteuzi uliyofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli leo tarehe 05 Desemba 2020
========
Rais Magufuli pia amewateua kuwa Wabunge Dkt. Doroth Gwajima(Alikuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Afya) na Dkt. Leonard Chamuliho (alikuwa Katibu Mkuu Uchukuzi).
Pia Rais Magufuli ameunda Wizara mpya ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari.
Orodha ya Mawaziri kama ilivyotangazwa na Katibu Mkuu Kiongozi.
1. Wizara ya Maji - Juma Aweso
2. Wizara ya Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo - Innocent Bashungwa
3. Wizara ya Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Vijana na wenye ulemavu - Jenister Mhagama
4. Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto - Dkt. Doroth Gwajima
5. Wizara ya Uwekezaji ofisi ya Rais - Profesa Mkumbo Kitila
6. Wizara ya Katiba na Sheria - Dkt. Mwigulu Nchemba
7. Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia - Profesa Joyce Ndalichako
8. Wizara ya Mifugo na Uvuvi -Mashimba Mashauri Ndaki
9. Wizara ya Maliasili na Utalii - Dkt. Ndumbalo Damas
10. Ofisi ya Rais TAMISEMI -Suleiman Jaffo
11. Wizara ya Madini - Dotto Biteko
12. Wizara ya Nishati - Dkt. Medard Kalemani
13. Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi - Mhandisi Dkt Leonard Chamuliho
14. Wizara ya Kilimo - Profesa Adolph Mkenda.
15. Wizara Viwanda na Biashara - Mwambie Geofrey Idelphonce
16.Wizara ya Mambo ya Ndani - George Simbachawene
17. Wizara ya Muungano na Mazingira - Ummy Mwalimu
18. Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya habari - Dkt Faustine Ndugulile
19. Wizara ya Fedha na Mipango - Dkt. Philip Mpango
20.Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki - Profesa Paramagamba Kabudi
21. Wizara ya Ardhi na Makazi -William Lukuvi
22. Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa - Elias John Kwandikwa
23. Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora - Capt Mstaafu George Mkuchika
👍Ni kweli yupo, ni wale wazee wachache wanao jielewa, hongera zake
But it is bitter truthMmeachana na habari wakina mama wsbunge Covid-19 mnahania kwenye udini! Wabunge bhana !
Nilikua nafanya uchambuzi hapa, nilidhani ni mimi tu niliyeona. Hii ni hatari aisee.Tunasema katika baraza la watu 23 waislamu ni watatu haijawahi kutokea tangu Uhuru