Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Too many time ametabiri yakatimia. Kuhusu Halima Mdee, esther Bulaya na mengineyo mengi sanaaliandika Twitter na imekuwa kweli
Hata wangekuja wengine ungesema tuu !Sasa mbona asilimia 90 wamerudi walewale
Waislamu watatu wizara 23 unategemea wazanzibari wapate wapi?
Hivi mnawachukuliaje Waislam? Ingekuwa wameteuliwa Wakristu 3 na Waislam 19 mngenyamaza nyie manaswara? Au mngekuwa mnafundishana ubaguzi wa serikali kwenye vigango vyenu saa hii?Halafu nawe unawaza kuna siku utakabidhiwa Tanzania kama kiongozi, kwa fikira hii, hata "unywe gongo ya mapapai" huwezi kuwa!! Umejitakia mwenyewe laana hii. Hakuna namna.
usichukulie kirahisi hivyo, hata ya covid 19 aliisema sana kuwa wanakwenda bungeni viti maalum...ikatokea. It is not a single event alizobashiri ; and coincidence can not fall on Kigogo at all times!Otherwise alichofanya ni kubashiri tu kwa kuangalia trend ya Jiwe ya kufanya teuzi siku za mwisho wa week.
Lihimidiwe jina la BWANA YESU siku zoteHuwezi kua na wasiwasi maana hata kama baraza Zima lingekua wakristo tupo Ndio furaha yako
Madrasa na wizara wapi na wapiHivi mnawachukukiaje Waislam? Ingekuwa wameteuliwa Wakristu 3 na Waislam 19 mngenyamaza nyie manaswara? Au mngekuwa mnafundishana ubaguzi wa serikali kwenye vigango vyenu saa hii?
Matangazo ya moja kwa moja kutoka Ikulu, Chamwino mkoani Dodoma kuhusu Uteuzi uliyofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli leo tarehe 05 Desemba 2020
========
Rais Magufuli pia amewateua kuwa Wabunge Dkt. Doroth Gwajima(Alikuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Afya) na Dkt. Leonard Chamuliho (alikuwa Katibu Mkuu Uchukuzi).
Pia Rais Magufuli ameunda Wizara mpya ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari.
Orodha ya Mawaziri kama ilivyotangazwa na Katibu Mkuu Kiongozi.
1. Wizara ya Maji - Juma Aweso
2. Wizara ya Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo - Innocent Bashungwa
3. Wizara ya Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Vijana na wenye ulemavu - Jenister Mhagama
4. Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto - Dkt. Doroth Gwajima
5. Wizara ya Uwekezaji ofisi ya Rais - Profesa Mkumbo Kitila
6. Wizara ya Katiba na Sheria - Dkt. Mwigulu Nchemba
7. Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia - Profesa Joyce Ndalichako
8. Wizara ya Mifugo na Uvuvi -Mashimba Mashauri Ndaki
9. Wizara ya Maliasili na Utalii - Dkt. Ndumbalo Damas
10. Ofisi ya Rais TAMISEMI -Suleiman Jaffo
11. Wizara ya Madini - Dotto Biteko
12. Wizara ya Nishati - Dkt. Medard Kalemani
13. Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi - Mhandisi Dkt Leonard Chamuliho
14. Wizara ya Kilimo - Profesa Adolph Mkenda.
15. Wizara Viwanda na Biashara - Mwambie Geofrey Idelphonce
16.Wizara ya Mambo ya Ndani - George Simbachawene
17. Wizara ya Muungano na Mazingira - Ummy Mwalimu
18. Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya habari - Dkt Faustine Ndugulile
19. Wizara ya Fedha na Mipango - Dkt. Philip Mpango
20.Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki - Profesa Paramagamba Kabudi
21. Wizara ya Ardhi na Makazi -William Lukuvi
22. Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa - Elias John Kwandikwa
23. Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora - Capt Mstaafu George Mkuchika
Mchagga ni yupi hapo?Katika baraza hili lenye mawaziri 23 kwa haraka haraka
-Wanawake 4 (wanaume 19)
-?Waislamu 2 (?Wakristo 21)
-Mchaga 1 (Wasukuma 5+)
-Mzanzibar 0 (watanganyika 23)
Tanzania nzima kuna watu watatu tu Ndio wanakidhi Vigezo vya uwaziri?
mimi siwezi kumdharau, akisema kitu nitachukua tahadhaliNdo Mana chadema wanatakiwa kuwa naye makini Sana huyu ni mtu wa ndani kabisa n apengine ana baraka zote kutoka huko jikoni
Kama umeweza kuwaza kidini na ukahitimisha kuwa wakristo wanastahili zaidi kwa sababu wamesoma na kuelimika zaidi, sasa Waza pia kikabila halafu chambua hivyo hivyo, na tumia sampuli ya makabila ya wachaga(Northen zone) vs wasukuma (Lake zone) kwenye teuzi hizi za leo au hapo kabla.Juma Aweso, Ummy Mwalimu, Suleman Jaffo hao ni wakristu pia? Katika wabunge wote angalia ratio ya wakristu na Waislamu utapata jibu.
Waislamu Kuna kitu huwa hamtaki kukubali kuwa swala la elimu dunia hamkulipa kipaumbele toka zamani, wenzenu wakristu walienda sambamba elimu ya dini na elimu ya dunia. Kwa Sasa Waislamu ndo mmekuwa na mwamko wa elimu ya dunia wakati wakristu tayari wamepiga hatua kubwa. Kwa hiyo itachukua muda mrefu kuziba hilo pengo na kuwa na uwiano sawa wa wasomi.
Kwa hiyo kwa Sasa usitegemee kuwe na uwiano sawa katika uongozi ilihali hakuna uwiano sawa wa wasomi Kati ya Waislamu na wakristu.
Sikuwa nimeona mkuu, one of the bestBashe yupo kwenye nafasi ileile naibu waziri kilimo