Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahahaaaa 😅😅🤣🤣🤣😁😁 ! We bidada sikuwezi kabisa !
Tupate wapi ndugu.
Ndio usomeshe mwanao awe waziri mliwapeleka madrasa saa hizi mnatamani uwaziri, kwanza Waziri akiwa mkiristo unakosa nini?Ina maana wabunge wote hawakusoma shule!
Wewe unaamini Tanzania nzima kuna waislamu watatu tu ambao waliosoma?
Tuseme basi Wasukuma nao basi hawakutakiwa kuwepo kwa kuwa wanalisha ng'ombe zaidi kuliko kusoma. Hana hoja huyuKama umeweza kuwaza kidini na ukahitimisha kuwa wakristo wanastahili zaidi kwa sababu wamesoma na kuelimika zaidi, sasa Waza pia kikabila halafu chambua hivyo hivyo, na tumia sampuli ya makabila ya wachaga(Northen zone) vs wasukuma (Lake zone) kwenye teuzi hizi za leo au hapo kabla.
Nasubiri uchambuzi wako hapa.
Kwani.makabila ni hayo tu mawili sukuma na Chaga? Mbona wabende hatuna mtu hapo hata aliyekuwepo hapo nyuma kafurushwa? [emoji23] Lakini tumetulia?Kama umeweza kuwaza kidini na ukahitimisha kuwa wakristo wanastahili zaidi kwa sababu wamesoma na kuelimika zaidi, sasa Waza pia kikabila halafu chambua hivyo hivyo, na tumia sampuli ya makabila ya wachaga(Northen zone) vs wasukuma (Lake zone) kwenye teuzi hizi za leo au hapo kabla.
Nasubiri uchambuzi wako hapa.
Hii ndio JFHahahahahaaaa 😅😅🤣🤣🤣😁😁 ! We bidada sikuwezi kabisa !
Ile ni namba ya uhakika,Hivi yule Makame Mbawala kateuliwa kule Unguja au?
Kwani huyu ni ke?Hahahahahaaaa [emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16] ! We bidada sikuwezi kabisa !
Mmehama kwenye HOJA za kura feki sasa mnarejea katika hisia KONGWE za UDINI ee?!!
Yaani ninyi ni KUHAMISHA MAGOLI TU...
Wangekuwa wako 20 ndipo hapo ROHO YAKO ingekuwa KWATUUU?!!si ndiyo?
Mchagga ni yupi hapo?
Nimejaribu kucheki surname sioni
[emoji16]Huu ndio muda wa kuondoka sebuleni na kujipumzisha nje.
Mkuu mimi naona sawa tu ili waislamu wasiwe sehemu ya serikali ya wamwaga damu na wezi wa kura.Huwezi kua nazo maana wenzako wamejaa wizara zote
Usisahau kuwa Rais, Makamu wa Rais, Waziri Mkuu ni sehemu ya Baraza la Mawaziri. Lakini dini siyo mojawapo ya vigezo, na si sahihi kuchunguzana kwa dini, kabila, eneo nk. Pia tusisahau kuwa wanaweza kukidhi 100, 200 je tuwe na baraza kubwa kama hilo?! Hapana.Vigezooooooo!!!!
Unamaanisha Tanzania nzima kuna waislamu watatu tu Ndio wanakidhi Vigezo vya kua mawaziri???
Anyway I feel sorry kwa waswahili wenzangu waliokuwa wanamshadadia mtu anaeonyesha chuki za dhahiri kwetu
🙋♂️Hii ndio JF