Tembosa
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 4,487
- 3,978
Matumizi mabaya ya lugha.Thanks brethren..🙏🙏
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Matumizi mabaya ya lugha.Thanks brethren..🙏🙏
Kwenye 23 kuwepo 3 isn't fair,haijawahi kutokea toka uhurujafo juma aweso na ummy wamebatizwa au acha udini
Vigezooooooo!!!!Kwani hilo ni baraza la dini au wanaangalia vigezo ?????????
Kivipi ?Matumizi mabaya ya lugha.
Mimi nilishaula tokea sijazaliwa.Ila Baraza lile acha kabisa......pale Mwugulu sasa anaandaa mswaada wa kuondoa ukomo wa madaraka kwa rais.
Ni kweli yupo, ni wale wazee wachache wanao jielewa, hongera zake
Zanzibar ni koloni la Tanganyika, muambiwe mara ngapi ndio muelewe?Naona kuna Waislamu wanne tu kati ya hao mawaziri
Sijaona waziri Mzanzibar hata zile wizara nne za muungano !!
Kivipi ?
Haaa Haaa HaaaJuma aweso...ummy mwalimu na suleman jafo hawo nao wakristo???????
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Mmehama kwenye HOJA za kura feki sasa mnarejea katika hisia KONGWE za UDINI ee?!!Vigezooooooo!!!!
Unamaanisha Tanzania nzima kuna waislamu watatu tu Ndio wanakidhi Vigezo vya kua mawaziri???
Anyway I feel sorry kwa waswahili wenzangu waliokuwa wanamshadadia mtu anaeonyesha chuki za dhahiri kwetu
Matangazo ya moja kwa moja kutoka Ikulu, Chamwino mkoani Dodoma kuhusu Uteuzi uliyofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli leo tarehe 05 Desemba 2020
========
Rais Magufuli pia amewateua kuwa Wabunge Dkt. Doroth Gwajima(Alikuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Afya) na Dkt. Leonard Chamuliho (alikuwa Katibu Mkuu Uchukuzi).
Pia Rais Magufuli ameunda Wizara mpya ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari.
Orodha ya Mawaziri kama ilivyotangazwa na Katibu Mkuu Kiongozi.
1.Wizara ya Maji - Juma Aweso
2.Wizara ya Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo - Innocent Bashungwa
3.Wizara ya Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Vijana na wenye ulemavu - Jenister Mhagama
4.Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto - Dkt. Doroth Gwajima
5.Wizara ya Uwekezaji ofisi ya Rais - Profesa Mkumbo Kitila
6.Wizara ya Katiba na Sheria - Dkt. Mwigulu Nchemba
7.Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia - Profesa Joyce Ndalichako
8.Wizara ya Mifugo na Uvuvi -Mashimba Mashauri Ndaki
9.Wizara ya Maliasili na Utalii - Dkt. Ndumbalo Damas
10. Ofisi ya Rais TAMISEMI -Suleiman Jaffo
11. Wizara ya Madini - Dotto Biteko
12. Wizara ya Nishati - Dkt. Medard Kalemani
13. Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi - Mhandisi Dkt Leonard Chamuliho
14. Wizara ya Kilimo - Profesa Adolph Mkenda.
15. Wizara Viwanda na Biashara - Mwambie Geofrey Idelphonce
16.Wizara ya Mambo ya Ndani - George Simbachawene
17. Wizara ya Muungano na Mazingira - Ummy Mwalimu
18. Wizara mpya ya Mawasiliano na Teknolojia ya habari Dkt Faustine Ndugulile
19.Fedha Dkt Philip Mpango
20.Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof Paramagamba Kabudi
21 Ardhi-William Lukuvi
22.Ulinzi na JKT Elias John Kuandikwa
23.Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Capt Mstaafu George Mkuchika.
Juma Aweso, Ummy Mwalimu, Suleman Jaffo hao ni wakristu pia? Katika wabunge wote angalia ratio ya wakristu na Waislamu utapata jibu.Wakiristo watupu!
Nini mantiki ya kuundwa wizara mpya ya Teknologia ya Habari, wakati huo huo kuna wizara nyingine ya Habari na wizara nyingine ya Technologia?
Unawezaje ukatenganisha technologia, habari na teknologia ya habari ?