kifinga
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 5,249
- 9,539
ummy mwalim mkristo,aweso jumaa mkristo ,suleyman jafo mkristo we jamaa acha uongo bwanaWakristo wote hapo Rais mdin huyu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ummy mwalim mkristo,aweso jumaa mkristo ,suleyman jafo mkristo we jamaa acha uongo bwanaWakristo wote hapo Rais mdin huyu
.....wameshatajwa pia!!Nadhan bado manaibu waziri
Baadhi ya COVID19 kuna tetesi watakuwemo kwenye Baraza haramu la Mawaziri. Tusubiri.
Hawana hata undugu hao! Gwajima ni jina la mume. Madame Dorothy ni kabila lako!bora huyo utendaji wake una julikana na anajulikana kabisa bila shida yoyote ile plus CV YAKE TUNAIJUA VYEMA KABISA ,sasa huyo mhhhh haa hatumjui vipi CV yake ??? au kisa mke wa ASKOFU RASHID ?? ASEEEEE MODS huu uzi msiufute natamani TISS wamwonyeshe bila shida .
.....kakurupuka!!ummy mwalim mkristo,aweso jumaa mkristo ,suleyman jafo mkristo we jamaa acha uongo bwana
Nadhan umeipima kwa darubini ...japo ngumu kuisemea waziHapo >50% ni Wasukuma already.
Wametajwa ,mizengo pinda , ndaniiNadhan bado manaibu waziri
Dorothy Ni kke wa Askofu Gwajima ....tangu lini?!Huyu msukuma anatuharibia nchi aisee yaan mtu na mkewe unawateua maana ubunge wa Gwajiboy tunajua kabebwa tu Leo Tena mke wake uwaziri daaah
Hivi mnamjuwa jiwe vizuri?Baadhi ya COVID19 kuna tetesi watakuwemo kwenye Baraza haramu la Mawaziri. Tusubiri.
bashe kapata bashite analima matikiti pemba mnazi kigamboni vyetI vyake havijanyooka hafaiKingwawala bashe bashite wapo wapi
Dr. Dorothy Gwajima sio msukuma.Huyu msukuma anatuharibia nchi aisee yaan mtu na mkewe unawateua maana ubunge wa Gwajiboy tunajua kabebwa tu Leo Tena mke wake uwaziri daaah
Magu kawanyoosha Waislam hahahhaa. Chadema Oyeeee
Jf siku hizi ina watu na viatu!Huyu msukuma anatuharibia nchi aisee yaan mtu na mkewe unawateua maana ubunge wa Gwajiboy tunajua kabebwa tu Leo Tena mke wake uwaziri daaah
Si mpaka uwe na hiyo sebule......kuwa na sebule sio masihara.Huu ndio muda wa kuondoka sebuleni na kujipumzisha nje.