BABA SANIAH
JF-Expert Member
- Oct 20, 2013
- 4,606
- 5,922
Madrasa ni neno la kiarabu,likiwa maana ya darasani,weka hoja yako vizuri,elimu zote zinatolewa madrasa,Ndio usomeshe mwanao awe waziri mliwapeleka madrasa saa hizi mnatamani uwaziri, kwanza Waziri akiwa mkiristo unakosa nini?