Ikulu, Chamwino: Rais Magufuli ateua Baraza la Mawaziri lenye Wizara 23. Aunda Wizara mpya ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

Ndio usomeshe mwanao awe waziri mliwapeleka madrasa saa hizi mnatamani uwaziri, kwanza Waziri akiwa mkiristo unakosa nini?
Madrasa ni neno la kiarabu,likiwa maana ya darasani,weka hoja yako vizuri,elimu zote zinatolewa madrasa,
 
Mimi graduate tu ndio nasubiria hio ajira
Sasa graduate kamaliza shule jana...anataka ATEULIWE?!!🤣🤣

Tena nafasi NYETI.....looh

Subiri ajira za UALIMU...ukafanye kazi ujijenge kiuchumi...halafu utagombea ubunge mdogo wangu aaamin!!
 
Mkuu kwani ni lini timu hizo ziliacha kuegemea upande wa CCM?!!

Ama wanauingiza UCCM ndani ya pitch ya KUCHEZEA?!!

Sio kwa uwazi hivi. Anyway isiwe tabu sana maana mimi sio mshabiki kabisa wa timu za hapa nchini kwa sababu ya soka la mizengwe.
 
Kawazidi mbali sana hao wengine
Kipi?!!

Hivi unajua THINK TANKS wengi wa nchi hawako katika nafasi za KISIASA?!!!

Yaani Dr.Kimei kawazidi maprofesa na wasomi wengi wa vyuo vyetu vikuu?!!

Looh hiyo inaitwa GRANDIER DELUSION ...🤣
 
Mimi nasema baraza la mawaziri 23 waislamu 3 na Wasukuma 5 haijawahi kutokea
Wewe haikugusi maana watu wako Ndio wengi lazima uone sawa
 
Sasa graduate kamaliza shule jana...anataka ATEULIWE?!!🤣🤣

Tena nafasi NYETI.....looh

Subiri ajira za UALIMU...ukafanye kazi ujijenge kiuchumi...halafu utagombea ubunge mdogo wangu aaamin!!
Motivational speaker wametuamuru tu dream big kaka 🤣
 
Ndio usomeshe mwanao awe waziri mliwapeleka madrasa saa hizi mnatamani uwaziri, kwanza Waziri akiwa mkiristo unakosa nini?
Kwa hio wewe unaamini Tanzania nzima waislamu waliosoma madrassa pekee isipokua hao watatu tu
Kama unaamini hivyo Safi sana
 
Katika baraza hili lenye mawaziri 23 kwa haraka haraka
-Wanawake 4 (wanaume 19)
-?Waislamu 2 (?Wakristo 21)
-Mchaga 1 (Wasukuma 5+)
-Mzanzibar 0 (watanganyika 23)
Mzee kwa nature ya kabila lake hu undermine wanawake hata the way anavo mu address mkewe utajua yeye anaamini wanaume kuliko wanawake. Jakaya alitoa Sana nafasi wanawake
 
Angalia wizara na.2 na 18 naona kama zinafanana

Nimeona asee, nilikua sijaiona hiyo namba mbili. Lakini namba 18 nadhani ni mambo ya TEHAMA na sio habari (nahisi itahusika na telnolojia zaidi, japo sijajua TCRA watawezaje kuwa na zaidi ya Boss mmoja)
 
Mtoto wa mtoto wa mkulima mambo safii! Ridhimoko anakwama wapi?

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…