Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa Charles Kimei anakula shavu viwanda na biashara.
Hakuna mchaga wala mpare atakayetoboa kwenye serikali hii ya Magufuli.
Labda Angela Kairuki.
Hao ma Prof wamefanya kitu gani tangible??Kipi?!!
Hivi unajua THINK TANKS wengi wa nchi hawako katika nafasi za KISIASA?!!!
Yaani Dr.Kimei kawazidi maprofesa na wasomi wengi wa vyuo vyetu vikuu?!!
Looh hiyo inaitwa GRANDIER DELUSION ...🤣
Lukuvi yupo palepale Ardhi maana a naimudu
Hivi Adolf Mkenda ni kabila gani vile!? Maana nijuavyo mimi ni mchaga sasa sijui mashemeji zangu mnakwama wapiHakuna mchaga wala mpare atakayetoboa kwenye serikali hii ya Magufuli.
Labda Angela Kairuki.
Kwani hao ndo wameteuliwa uwaziri? Hivi unajua unachongeaKipi?!!
Hivi unajua THINK TANKS wengi wa nchi hawako katika nafasi za KISIASA?!!!
Yaani Dr.Kimei kawazidi maprofesa na wasomi wengi wa vyuo vyetu vikuu?!!
Looh hiyo inaitwa GRANDIER DELUSION ...🤣
Alikuwa na nyota njema sana na angeweza hata kuwa waziri kamili ila hajui siasa na alikuwa anazungukwa na wanafiki wa masilahi ya fedha zake tu na wakampoteza na mzee kashtuliwa mapemaHapa Charles Kimei anakula shavu viwanda na biashara.
Hakuna anayebeza uwajibikaji wa Dr.Kimei pale CRDB....Hao ma Prof wamefanya kitu gani tangible??
Kimei amefanya kitu kinachoonekana, sio kuandika papers kwa msaada wa Wikipedia..
Hata Kama waislam ni VILAZA wakubwa, that means hawana uwezo kabisa, uteuzi nyeti kama huu lazima wasipungue walau 8 out of 23. Kinyume na hapo kuna walakini. Vivyo hivyo kwa wakuu wa mikoa, Kama mikoa ni 26, waislam wasipungue 9, maana 50/50 Is impossible.Waswahili na kujipendekeza kote baraza lenye mawaziri 23 waislamu ni waratu tu
Haijawahi kutokea tangu Uhuru wa nchi hii
😲😲Hussein Mwinyi is the next President
Kukuuliza unitajie alichowazidi wengine ndiyo kuwa sijui ninachoongea?!!!Kwani hao ndo wameteuliwa uwaziri? Hivi unajua unachongea
Watatu out of 23, does this make sense to you? You can't be seriousummy mwalim mkristo,aweso jumaa mkristo ,suleyman jafo mkristo we jamaa acha uongo bwana
Kuna vijana wa ccm asili wote nje watateseka sanaKuna watu hawatalala leo kwa msongo wa mawazo, kwa kukosa uteuzi.[emoji2955]
Mkuu kwa heshima yako tu niko bar sasa.. Ngoja tutaliongelea vizuri hili nikiwa na my sane mind. Asante!!Hakuna anayebeza uwajibikaji wa Dr.Kimei pale CRDB....
Unataka kuniambia kila mwenye OUTSTANDING RECORD ya kizalendo huwa ANAPATA uteuzi wa kisiasa hapa nchini?!!!
Mbona ni Serikali hii ya AWAMU YA 5 ambayo pasi na shaka imewathamini mno kufikia kuwateua kisiasa zaidi ya huko nyuma ambako hao madokta na maprofesa walikuwa wanabaki vyuoni na katika MASHIRIKA ya umma....
Halafu hizi teuzi zinaangalia mengi....Kuna wakati mpaka "TABIA ZAKO BINAFSI....."
Mbona Profesa Mbarawa ameachwa....Mbarawa hana outstanding record?!!
Save that post.. Huo ndio ukweli😲😲
Umekuwa mpiga ramli eee?!!
Kwa uteuzi huu inaonekana kabisa udini ulikuwa ni kigezo. Kusema eti waislamu hawajasoma sio kweli zaidi ya kutafuta kisingizio.Inategemea na utashi wa mteuzi na mamlaka yake ya kikatiba, pia dini sio kigezo chakuwa waziri