Ikulu, Chamwino: Rais Magufuli ateua Baraza la Mawaziri lenye Wizara 23. Aunda Wizara mpya ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

Ikulu, Chamwino: Rais Magufuli ateua Baraza la Mawaziri lenye Wizara 23. Aunda Wizara mpya ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

Kipi?!!

Hivi unajua THINK TANKS wengi wa nchi hawako katika nafasi za KISIASA?!!!

Yaani Dr.Kimei kawazidi maprofesa na wasomi wengi wa vyuo vyetu vikuu?!!

Looh hiyo inaitwa GRANDIER DELUSION ...🤣
Hao ma Prof wamefanya kitu gani tangible??

Kimei amefanya kitu kinachoonekana, sio kuandika papers kwa msaada wa Wikipedia..
 
Kipi?!!

Hivi unajua THINK TANKS wengi wa nchi hawako katika nafasi za KISIASA?!!!

Yaani Dr.Kimei kawazidi maprofesa na wasomi wengi wa vyuo vyetu vikuu?!!

Looh hiyo inaitwa GRANDIER DELUSION ...🤣
Kwani hao ndo wameteuliwa uwaziri? Hivi unajua unachongea
 
November 20, 2020​

MAGUFULI azungumzia uteuzi baraza Jipya la Mawaziri, mnaenda kwa Waganga ili niwateue mtapakwa mikosi

Am
Hapa Charles Kimei anakula shavu viwanda na biashara.
Alikuwa na nyota njema sana na angeweza hata kuwa waziri kamili ila hajui siasa na alikuwa anazungukwa na wanafiki wa masilahi ya fedha zake tu na wakampoteza na mzee kashtuliwa mapema
 
Hao ma Prof wamefanya kitu gani tangible??

Kimei amefanya kitu kinachoonekana, sio kuandika papers kwa msaada wa Wikipedia..
Hakuna anayebeza uwajibikaji wa Dr.Kimei pale CRDB....

Unataka kuniambia kila mwenye OUTSTANDING RECORD ya kizalendo huwa ANAPATA uteuzi wa kisiasa hapa nchini?!!!

Mbona ni Serikali hii ya AWAMU YA 5 ambayo pasi na shaka imewathamini mno kufikia kuwateua kisiasa zaidi ya huko nyuma ambako hao madokta na maprofesa walikuwa wanabaki vyuoni na katika MASHIRIKA ya umma....

Halafu hizi teuzi zinaangalia mengi....Kuna wakati mpaka "TABIA ZAKO BINAFSI....."

Mbona Profesa Mbarawa ameachwa....Mbarawa hana outstanding record?!!
 
Waswahili na kujipendekeza kote baraza lenye mawaziri 23 waislamu ni waratu tu
Haijawahi kutokea tangu Uhuru wa nchi hii
Hata Kama waislam ni VILAZA wakubwa, that means hawana uwezo kabisa, uteuzi nyeti kama huu lazima wasipungue walau 8 out of 23. Kinyume na hapo kuna walakini. Vivyo hivyo kwa wakuu wa mikoa, Kama mikoa ni 26, waislam wasipungue 9, maana 50/50 Is impossible.

Hata Waswahili endeleeni kutafuna kharlua, wenzenu watafuna nchi.
 
Hakuna anayebeza uwajibikaji wa Dr.Kimei pale CRDB....

Unataka kuniambia kila mwenye OUTSTANDING RECORD ya kizalendo huwa ANAPATA uteuzi wa kisiasa hapa nchini?!!!

Mbona ni Serikali hii ya AWAMU YA 5 ambayo pasi na shaka imewathamini mno kufikia kuwateua kisiasa zaidi ya huko nyuma ambako hao madokta na maprofesa walikuwa wanabaki vyuoni na katika MASHIRIKA ya umma....

Halafu hizi teuzi zinaangalia mengi....Kuna wakati mpaka "TABIA ZAKO BINAFSI....."

Mbona Profesa Mbarawa ameachwa....Mbarawa hana outstanding record?!!
Mkuu kwa heshima yako tu niko bar sasa.. Ngoja tutaliongelea vizuri hili nikiwa na my sane mind. Asante!!
 
Inategemea na utashi wa mteuzi na mamlaka yake ya kikatiba, pia dini sio kigezo chakuwa waziri
Kwa uteuzi huu inaonekana kabisa udini ulikuwa ni kigezo. Kusema eti waislamu hawajasoma sio kweli zaidi ya kutafuta kisingizio.
 
Back
Top Bottom