Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
🤣🤣Mkuu kwa heshima yako tu niko bar sasa.. Ngoja tutaliongelea vizuri hili nikiwa na my sane mind. Asante!!
Huyu ni yule ama Junior?Wizara ya Katiba na Sheria- Pinda Mizengo
Nadhani ulitaka kumaanisha haluwa hapo ulipoandika kharluaHata Kama waislam ni VILAZA wakubwa, that means hawana uwezo kabisa, uteuzi nyeti kama huu lazima wasipungue walau 8 out of 23. Kinyume na hapo kuna walakini. Vivyo hivyo kwa wakuu wa mikoa, Kama mikoa ni 26, waislam wasipungue 9, maana 50/50 Is impossible.
Hata Waswahili endeleeni kutafuna kharlua, wenzenu watafuna nchi.
Halafu we jamaa una kashifa za kichini chini zilizojificha kwenye unafiki! Sema lingine lenye mantiki lakini ni mpumbavu tu ndie anaeweza kusema hoja hapo ni elimu!!Elimu!
mtoto wa mizengo pinda kala shavu, naibu waziri wa katiba na sheria.Matangazo ya moja kwa moja kutoka Ikulu, Chamwino mkoani Dodoma kuhusu Uteuzi uliyofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli leo tarehe 05 Desemba 2020
========
Rais Magufuli pia amewateua kuwa Wabunge Dkt. Dorothy Gwajima(Alikuwa Naibu Katibu Mkuu TAMISEMI - Afya) na Dkt. Leonard Chamuliho (alikuwa Katibu Mkuu Uchukuzi).
Pia Rais Magufuli ameunda Wizara mpya ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari.
Orodha ya Mawaziri kama ilivyotangazwa na Katibu Mkuu Kiongozi.
1. Wizara ya Maji - Juma Aweso
2. Wizara ya Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo - Innocent Bashungwa
3. Wizara ya Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Vijana na wenye ulemavu - Jenister Mhagama
4. Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto - Dkt. Doroth Gwajima
5. Wizara ya Uwekezaji ofisi ya Rais - Profesa Mkumbo Kitila
6. Wizara ya Katiba na Sheria - Dkt. Mwigulu Nchemba
7. Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia - Profesa Joyce Ndalichako
8. Wizara ya Mifugo na Uvuvi -Mashimba Mashauri Ndaki
9. Wizara ya Maliasili na Utalii - Dkt. Ndumbalo Damas
10. Ofisi ya Rais TAMISEMI -Suleiman Jaffo
11. Wizara ya Madini - Dotto Biteko
12. Wizara ya Nishati - Dkt. Medard Kalemani
13. Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi - Mhandisi Dkt Leonard Chamuliho
14. Wizara ya Kilimo - Profesa Adolph Mkenda.
15. Wizara Viwanda na Biashara - Mwambie Geofrey Idelphonce
16.Wizara ya Mambo ya Ndani - George Simbachawene
17. Wizara ya Muungano na Mazingira - Ummy Mwalimu
18. Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya habari - Dkt Faustine Ndugulile
19. Wizara ya Fedha na Mipango - Dkt. Philip Mpango
20.Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki - Profesa Paramagamba Kabudi
21. Wizara ya Ardhi na Makazi -William Lukuvi
22. Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa - Elias John Kwandikwa
23. Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora - Capt Mstaafu George Mkuchika
Manaibu Waziri
1. Wizara ya Viwanda na Biashara- Kigae Silaoneka
2. Wizara wa Ardhi- Angelina Mabula
3. Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana na Ajira- Patrobas Katambi
4. Wizara ya Mambo ya Ndani- Hamis Hamza Hamisi
5. Wizara ya Fedha- Mwanaida Ali Khamis
6. Wizara ya Elimu- Kipanga Juma Omar
7. TAMISEMI- Dk Festo Ndugange
8. Wizara ya Nishati- Stephen Byabato
9. Menejimenti Utumishi wa Umma- John Ndejembi
10. Mawasiliano na Teknolojia ya Habari- Kundo Mathew
11. Wizara ya Mifugo- Pauline Gekul
12. Wizara ya Madini- Ndulane Kumba
13. Wizara ya Ujenzi- Godfrey Kasekenya
14. Ofisi ya Waziri Mkuu wenye ulemavu- Ummy Ndelinanga
15. Wizara ya Maji- Maryprisca Mahundi
16. Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo- Abdallah Ulega
17. Ofisi ya Makamu wa Rais (muungano na mazingira)- Mwita Waitara
18. Wizara ya Mambo ya Nje- William Olenasha
19. Wizara ya Maliasili na Utalii- Mary Masanja
20. Ofisi ya rais TAMISEMI- David Silinde
21. Wizara ya Kilimo- Hussein Bashe
22. Wizara ya Afya- Dk Godwin Mollel
23. Wizara ya Katiba na Sheria- Pinda Mizengo
Waislamu Ndio wengi nchi hii lakini wasomi wengi ni wakristoHata hivyo wakristo ni wengi kuliko waislam,sasa huo uwiano utatoka wapi.hats ukiangalia idadi ya makanisa na Miskiti,Miskito ni tone LA maji katika bahari.
......kwani hawapo katika BARAZA?!!
Mnataka nini zaidi?!!
Watu huteuliwa kwa SIFA NA CV ZAO...
KKalaghab
Ajielewe wapi! He is not that special. Kachawi tu kale kazee. Too conservative. Usitegemee flexibility hapoNi kweli yupo, ni wale wazee wachache wanao jielewa, hongera zake
Bila shaka haya ni mawazo chonganishi ya CHADEMA. Hivi na akili zako za kutosha baraza la mawaziri 30/40, itawezekana kila kabila lipate waziri? Je, ndivyo CHADEMA itafanya ikichukuwa dola? Au hii ndiyo sababu ya Mbowe kung'ang'ania ukuu wa CHADEMA! Hataki makabila mengine yapate.Kwani lazima wawepo?
Makabila 126 yataingiaje kwenye cabinet ya watu 30 or 40?
Msijikweze sana maana inawezekana kuna Makabila tangu uhuru hayajawahi kutoa walau Naibu Waziri
Ukiondoa Jakaya kuna Mkwere kishawahi kuwa Waziri au Naibu waziri tangu uhuru? Mbona tupo kimya tu
Mpumbavu mwingine huyu!!Madrasa na wizara wapi na wapi
Waislamu Ndio wengi nchi hii lakini wasomi wengi ni wakristo
Hata hivyo huwezi kusema Bara na visiwani kuna waislamu 3 tu Ndio wamesoma
Magufuli tangu aingie madarakani amejitahidi kuondoa jamii ya waislamu. Wachagga na wapare serikalini
Haya sasa wapare waziri 0 wachagga 1 Wasukuma 5
This is not coming by chance is well planned na utaona baadae hao watatu waislamu watapigwa chini
Dini au kabila sio kigezo Cha kuwa waziriWaislamu Ndio wengi nchi hii lakini wasomi wengi ni wakristo
Hata hivyo huwezi kusema Bara na visiwani kuna waislamu 3 tu Ndio wamesoma
Magufuli tangu aingie madarakani amejitahidi kuondoa jamii ya waislamu. Wachagga na wapare serikalini
Haya sasa wapare waziri 0 wachagga 1 Wasukuma 5
This is not coming by chance is well planned na utaona baadae hao watatu waislamu watapigwa chini
Mambo ya udini siyo ya Mbowe. Mbowe hakuchagua baraza la mawaziriBila shaka haya ni mawazo chonganishi ya CHADEMA. Hivi na akili zako za kutosha baraza la mawaziri 30/40, itawezekana kila kabila lipate waziri? Je, ndivyo CHADEMA itafanya ikichukuwa dola? Au hii ndiyo sababu ya Mbowe kung'ang'ania ukuu wa CHADEMA! Hataki makabila mengine yapate.
JuniorHuyu ni yule ama Junior?
Kwako si kigezo lakini kwa Magufuli ni kigezo cha kwanzaDini au kabila sio kigezo Cha kuwa waziri
Watu wa pwani ni waungwana hawawezi kubagua watuWakome kiherehere, wapambane wapate Rais wa kanda yao ili wawakomeshe wasukuma