Ikulu, Chamwino: Rais Magufuli ateua Baraza la Mawaziri lenye Wizara 23. Aunda Wizara mpya ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

Ikulu, Chamwino: Rais Magufuli ateua Baraza la Mawaziri lenye Wizara 23. Aunda Wizara mpya ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

nawapa pongezi wteule wote lakini pia nawapa pole kwani awamu hii ya 5 usisherehekee kama umeula bali unatakiwa ukaze mkanada wako na uchape kazi mchana na usiku bila kuchoka, ukubali kujitoa kwa ajili ya wananchi.

Hongera za kipekee ziende kwa mhe. Awesu kwani anastahili kabisa kufika hapo alipo fika naamini kama mawaziri wengine wataiga utendaji wa mhe Awesu wataendelee kutetea nafasi zao,
 
Hata Kama waislam ni VILAZA wakubwa, that means hawana uwezo kabisa, uteuzi nyeti kama huu lazima wasipungue walau 8 out of 23. Kinyume na hapo kuna walakini. Vivyo hivyo kwa wakuu wa mikoa, Kama mikoa ni 26, waislam wasipungue 9, maana 50/50 Is impossible.

Hata Waswahili endeleeni kutafuna kharlua, wenzenu watafuna nchi.
Nadhani ulitaka kumaanisha haluwa hapo ulipoandika kharlua
 
Matangazo ya moja kwa moja kutoka Ikulu, Chamwino mkoani Dodoma kuhusu Uteuzi uliyofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli leo tarehe 05 Desemba 2020



========
Rais Magufuli pia amewateua kuwa Wabunge Dkt. Dorothy Gwajima(Alikuwa Naibu Katibu Mkuu TAMISEMI - Afya) na Dkt. Leonard Chamuliho (alikuwa Katibu Mkuu Uchukuzi).

Pia Rais Magufuli ameunda Wizara mpya ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari.

Orodha ya Mawaziri kama ilivyotangazwa na Katibu Mkuu Kiongozi.

1. Wizara ya Maji - Juma Aweso

2. Wizara ya Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo - Innocent Bashungwa

3. Wizara ya Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Vijana na wenye ulemavu - Jenister Mhagama

4. Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto - Dkt. Doroth Gwajima

5. Wizara ya Uwekezaji ofisi ya Rais - Profesa Mkumbo Kitila

6. Wizara ya Katiba na Sheria - Dkt. Mwigulu Nchemba

7. Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia - Profesa Joyce Ndalichako

8. Wizara ya Mifugo na Uvuvi -Mashimba Mashauri Ndaki

9. Wizara ya Maliasili na Utalii - Dkt. Ndumbalo Damas

10. Ofisi ya Rais TAMISEMI -Suleiman Jaffo

11. Wizara ya Madini - Dotto Biteko

12. Wizara ya Nishati - Dkt. Medard Kalemani

13. Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi - Mhandisi Dkt Leonard Chamuliho

14. Wizara ya Kilimo - Profesa Adolph Mkenda.

15. Wizara Viwanda na Biashara - Mwambie Geofrey Idelphonce

16.Wizara ya Mambo ya Ndani - George Simbachawene

17. Wizara ya Muungano na Mazingira - Ummy Mwalimu

18. Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya habari - Dkt Faustine Ndugulile

19. Wizara ya Fedha na Mipango - Dkt. Philip Mpango

20.Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki - Profesa Paramagamba Kabudi

21. Wizara ya Ardhi na Makazi -William Lukuvi

22. Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa - Elias John Kwandikwa

23. Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora - Capt Mstaafu George Mkuchika


Manaibu Waziri

1. Wizara ya Viwanda na Biashara- Kigae Silaoneka

2. Wizara wa Ardhi- Angelina Mabula

3. Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana na Ajira- Patrobas Katambi

4. Wizara ya Mambo ya Ndani- Hamis Hamza Hamisi

5. Wizara ya Fedha- Mwanaida Ali Khamis

6. Wizara ya Elimu- Kipanga Juma Omar

7. TAMISEMI- Dk Festo Ndugange

8. Wizara ya Nishati- Stephen Byabato

9. Menejimenti Utumishi wa Umma- John Ndejembi

10. Mawasiliano na Teknolojia ya Habari- Kundo Mathew

11. Wizara ya Mifugo- Pauline Gekul

12. Wizara ya Madini- Ndulane Kumba

13. Wizara ya Ujenzi- Godfrey Kasekenya

14. Ofisi ya Waziri Mkuu wenye ulemavu- Ummy Ndelinanga

15. Wizara ya Maji- Maryprisca Mahundi

16. Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo- Abdallah Ulega

17. Ofisi ya Makamu wa Rais (muungano na mazingira)- Mwita Waitara

18. Wizara ya Mambo ya Nje- William Olenasha

19. Wizara ya Maliasili na Utalii- Mary Masanja

20. Ofisi ya rais TAMISEMI- David Silinde

21. Wizara ya Kilimo- Hussein Bashe

22. Wizara ya Afya- Dk Godwin Mollel

23. Wizara ya Katiba na Sheria- Pinda Mizengo

mtoto wa mizengo pinda kala shavu, naibu waziri wa katiba na sheria.
 
Hata hivyo wakristo ni wengi kuliko waislam,sasa huo uwiano utatoka wapi.hats ukiangalia idadi ya makanisa na Miskiti,Miskito ni tone LA maji katika bahari.
Waislamu Ndio wengi nchi hii lakini wasomi wengi ni wakristo
Hata hivyo huwezi kusema Bara na visiwani kuna waislamu 3 tu Ndio wamesoma
Magufuli tangu aingie madarakani amejitahidi kuondoa jamii ya waislamu. Wachagga na wapare serikalini
Haya sasa wapare waziri 0 wachagga 1 Wasukuma 5
This is not coming by chance is well planned na utaona baadae hao watatu waislamu watapigwa chini
 
Kwani lazima wawepo?

Makabila 126 yataingiaje kwenye cabinet ya watu 30 or 40?

Msijikweze sana maana inawezekana kuna Makabila tangu uhuru hayajawahi kutoa walau Naibu Waziri

Ukiondoa Jakaya kuna Mkwere kishawahi kuwa Waziri au Naibu waziri tangu uhuru? Mbona tupo kimya tu
Bila shaka haya ni mawazo chonganishi ya CHADEMA. Hivi na akili zako za kutosha baraza la mawaziri 30/40, itawezekana kila kabila lipate waziri? Je, ndivyo CHADEMA itafanya ikichukuwa dola? Au hii ndiyo sababu ya Mbowe kung'ang'ania ukuu wa CHADEMA! Hataki makabila mengine yapate.
 
Wakome kiherehere, wapambane wapate Rais wa kanda yao ili wawakomeshe wasukuma
Waislamu Ndio wengi nchi hii lakini wasomi wengi ni wakristo
Hata hivyo huwezi kusema Bara na visiwani kuna waislamu 3 tu Ndio wamesoma
Magufuli tangu aingie madarakani amejitahidi kuondoa jamii ya waislamu. Wachagga na wapare serikalini
Haya sasa wapare waziri 0 wachagga 1 Wasukuma 5
This is not coming by chance is well planned na utaona baadae hao watatu waislamu watapigwa chini
 
Waislamu Ndio wengi nchi hii lakini wasomi wengi ni wakristo
Hata hivyo huwezi kusema Bara na visiwani kuna waislamu 3 tu Ndio wamesoma
Magufuli tangu aingie madarakani amejitahidi kuondoa jamii ya waislamu. Wachagga na wapare serikalini
Haya sasa wapare waziri 0 wachagga 1 Wasukuma 5
This is not coming by chance is well planned na utaona baadae hao watatu waislamu watapigwa chini
Dini au kabila sio kigezo Cha kuwa waziri
 
Bila shaka haya ni mawazo chonganishi ya CHADEMA. Hivi na akili zako za kutosha baraza la mawaziri 30/40, itawezekana kila kabila lipate waziri? Je, ndivyo CHADEMA itafanya ikichukuwa dola? Au hii ndiyo sababu ya Mbowe kung'ang'ania ukuu wa CHADEMA! Hataki makabila mengine yapate.
Mambo ya udini siyo ya Mbowe. Mbowe hakuchagua baraza la mawaziri
 
BARAZA LA MAWAZIRI WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
————
01. Wizara ya Maji
Waziri - Mhe. Jumaa Awesso
Naibu Waziri - Mhe. Eng. Maryprisca Wilfred Mahundi

02. Wizara ya Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo
Waziri - Mhe. Innocent Bashungwa
Naibu Waziri - Mhe. Abdallah Hamis Ulega

03. Wizara ya Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu)
Waziri - Mhe. Jenister Mhagama
Naibu Waziri - Mhe. Ummy Hamisi Nderiananga
Naibu Waziri, Kazi - Mhe. Patrobas Katambi Pascal

04. Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto
Waziri - Mhe. Dorothy Gwajima
Naibu Waziri - Mhe. Dkt. Godwin Oloyce Mollel⁩

05. Wizara Ofisi ya Rais - Uwekezaji
Waziri - Mhe. Prof. Dkt. Kitila Mkumbo

06. Wizara ya Katiba na Sheria
Waziri - Mhe. Mwigulu Nchemba
Naibu Waziri - Mhe. Pinda Geofrey Mizengo

07. Wizara ya Elimu, Sayansina Teknolojia
Waziri - Mhe. Prof. Dkt. Joyce Ndalichako
Naibu Waziri - Mhe. Kipanga Juma Omary

08. Wizara ya Mifugo na Uvuvi
Waziri - Mhe. Mashimba Mashauri Ndaki
Naibu Waziri - Mhe. Gekul Pauline Philipo

09. Wizara ya Maliasili na Utalii
Waziri - Mhe. Adv. Dkt. Damas Ndumbaro
Naibu Waziri - Mhe. Mary Francis Masanja

10. Wizara ya Ofisi ya Rais - TAMISEMI
Waziri - Mhe. Suleiman Said Jaffo
Naibu Waziri - Mhe. Dkt. Festo John Lugange
Naibu Waziri - Mhe. Silinde Ernest David

11. Wizara ya Madini
Waziri - Mhe. Dotto Biteko
Naibu Waziri - Mhe. Ndulane Francis Kumba

12. Wizara ya Nishati
Waziri - Mhe. Dkt. Medard Kalemani
Naibu Waziri - Mhe. Byabato Stephen Mjwahuka

13. Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi
Waziri - Mhe. Eng. Dkt. Leonard Chamuliho
Naibu Waziri - Mhe. Msongwe Godfrey Kasekenya

14. Wizara ya Kilimo
Waziri - Mhe. Prof. Dkt. Adolf Mkenda
Naibu Waziri - Mhe. Hussein Bashe

15. Wizara ya Viwanda na Biashara
Waziri - Mhe. Mwambe Geoffrey Idelphonce
Naibu Waziri - Mhe. Kigahe Exaud Silaoneka

16. Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Waziri - Mhe. George Simbachawene
Naibu Waziri - Mhe. Hamis Hamza Hamis

17. Wizara ya Ofisi ya Makamu wa Rais - Muunganona Mazingira
Waziri - Mhe. Ummy Mwalimu
Naibu Waziri - Mhe. Mwita Waitara

18. Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
Waziri - Mhe. Dkt. Faustine Ndugulile
Naibu Waziri - Mhe. Eng. Kundo Andrea Mathew

19. Wizara ya Fedha na Mipango
Waziri - Mhe. Dkt. Philipo Isidor Mpango
Naibu Waziri - Mhe. Mwanaidi Ali Hamis

20. Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki
Waziri - Mhe. Prof. Palamagamba J.A.M. Kabudi
Naibu Waziri - Mhe. William Tate Ole Masha

21. Wizara ya Ardhi
Waziri - Mhe. William Lukuvi
Naibu Waziri - Mhe. Dkt. Angelina Mabula

22. Wizara ya Ulinzi na JKT
Waziri - Mhe. Elias John Kwandikwa

23. Wizara ya Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala
Waziri - Mhe. Capt Mstaafu George Mkuchika
Naibu Waziri - Mhe. Ndejembi Deogratias John.

Hii ni safu ya kwanza ya kikosi Kazi, wengine wapo sub, wataingia tu kabla ya Dakika 90 kuisha.
 
Back
Top Bottom