Ikulu, Chamwino: Rais Magufuli ateua Baraza la Mawaziri lenye Wizara 23. Aunda Wizara mpya ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

Kuna baadhi waligombea ubunge kwa ajili ya kupata uwaziri
 
Urongo wa Parokiani huu
 
Mh, Katambi tafadhali anza na ajira za viwandani hasa viwanda vya wahindi na wachina bado kuna watanzania wanalipwa mishahara ya shg 4000 kwa siku hii sio sawa kabisa,, nakubali uwezo wako kiutendaji tafadhali tetea hawa wanyonge
Mkuu anzisha kiwanda chako ulipe mil 30 kwa mwezi hakuna atakayekuuliza
 
Yani makabila yote yasiyo na mawaziri umeona wapare na wachaga tu? Mna usipesho gani?

Wachaga msipozinduka kwamba mambo yamebadirika mtabaki kulalamika kama mnaonewa hivyo hivyo
Muhutu haachi ubaguzi maana Ndio asili yao
Udini
Ukabila
Ukanda
 
Katika baraza la mawaziri lililotangazwa leo, je kwa maoni yako ni waziri yupi ambaye uteuzi wake utatenguliwa mapema sana kuliko mawaziri wengine.
 
Pia vyama so kigezo? Kwa hiyo hata chadema wanaweza ongoza nchi almradi Maendeleo?
 
N
January Makamba na kumsifia sanaaaaa huyo anayejiita mwendawazimu lakini kwenye baraza haramu la mawaziri NJE!
Nape , Pascal Njaa hasa Pascal waliokaribu nae wamwangalie sana asije akajiua si kwa kuhangaikia humu JF na mada zake uchwara kasahsulika Tena maskini .
 
Kuna wizara inaitwa mambo ya ndani ya nchi toka 2015_2020 mawazi 4
 
Unalamika Nini si ulichagua ccm?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…