King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Vipenyo Kama kawaida wamekula MASHAVU.
-Silinde
-Gaucho Minjino.
-Silinde
-Gaucho Minjino.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa wewe hakuna shida lakini kiuhalisia haya ni mambo ya kibaguzikwa nini tunaingiza udini? sioni kosa lolote hapo maana watanzania wote tunataka maendeleo tu sio dini za watu, maaana hata akiwa mkiristo kinacho takiwa ni awe mwadilifu kwa watu wote,
DuuuuKuna wizara inaitwa mambo ya ndani ya nchi
😲😲Katika baraza la mawaziri lililotangazwa leo , je kwa maoni yako ni waziri yupi ambaye uteuzi wake utatenguliwa mapema sana kuliko mawaziri wengine.
Wizara ilimpwayaKigwangallah nje. Atulie sasa ale vizuri pesa alizokwapua
Pascal MayallaKuna watu hawatalala leo kwa msongo wa mawazo, kwa kukosa uteuzi.
Dkt. Kigwangalla hana option, zaidi ya kwenda kugombea nafasi ya uongozi Simba SC, ili apate nguvu ya kumdai na kumchamba Muddy zile hela alizo ahidi wakati ananunua hisa.
Pasco Mayalla amejitutumua sana kuweka makala za kumkosha Admini, ila nafasi zimejaa so asubiri uteuzi wa mwaka 2035.
Haa 😁😂😀😄😄😄😄Hamis chaaaaali[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]umbwa wewe
Matangazo ya moja kwa moja kutoka Ikulu, Chamwino mkoani Dodoma kuhusu Uteuzi uliyofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli leo tarehe 05 Desemba 2020
========
Rais Magufuli pia amewateua kuwa Wabunge Dkt. Dorothy Gwajima(Alikuwa Naibu Katibu Mkuu TAMISEMI - Afya) na Dkt. Leonard Chamuliho (alikuwa Katibu Mkuu Uchukuzi).
Pia Rais Magufuli ameunda Wizara mpya ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari.
Orodha ya Mawaziri kama ilivyotangazwa na Katibu Mkuu Kiongozi.
1. Wizara ya Maji - Juma Aweso
2. Wizara ya Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo - Innocent Bashungwa
3. Wizara ya Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Vijana na wenye ulemavu - Jenister Mhagama
4. Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto - Dkt. Doroth Gwajima
5. Wizara ya Uwekezaji ofisi ya Rais - Profesa Mkumbo Kitila
6. Wizara ya Katiba na Sheria - Dkt. Mwigulu Nchemba
7. Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia - Profesa Joyce Ndalichako
8. Wizara ya Mifugo na Uvuvi -Mashimba Mashauri Ndaki
9. Wizara ya Maliasili na Utalii - Dkt. Ndumbalo Damas
10. Ofisi ya Rais TAMISEMI -Suleiman Jaffo
11. Wizara ya Madini - Dotto Biteko
12. Wizara ya Nishati - Dkt. Medard Kalemani
13. Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi - Mhandisi Dkt Leonard Chamuliho
14. Wizara ya Kilimo - Profesa Adolph Mkenda.
15. Wizara Viwanda na Biashara - Mwambie Geofrey Idelphonce
16.Wizara ya Mambo ya Ndani - George Simbachawene
17. Wizara ya Muungano na Mazingira - Ummy Mwalimu
18. Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya habari - Dkt Faustine Ndugulile
19. Wizara ya Fedha na Mipango - Dkt. Philip Mpango
20.Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki - Profesa Paramagamba Kabudi
21. Wizara ya Ardhi na Makazi -William Lukuvi
22. Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa - Elias John Kwandikwa
23. Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora - Capt Mstaafu George Mkuchika
Manaibu Waziri
1. Wizara ya Viwanda na Biashara- Kigae Silaoneka
2. Wizara wa Ardhi- Angelina Mabula
3. Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana na Ajira- Patrobas Katambi
4. Wizara ya Mambo ya Ndani- Hamis Hamza Hamisi
5. Wizara ya Fedha- Mwanaida Ali Khamis
6. Wizara ya Elimu- Kipanga Juma Omar
7. TAMISEMI- Dk Festo Ndugange
8. Wizara ya Nishati- Stephen Byabato
9. Menejimenti Utumishi wa Umma- John Ndejembi
10. Mawasiliano na Teknolojia ya Habari- Kundo Mathew
11. Wizara ya Mifugo- Pauline Gekul
12. Wizara ya Madini- Ndulane Kumba
13. Wizara ya Ujenzi- Godfrey Kasekenya
14. Ofisi ya Waziri Mkuu wenye ulemavu- Ummy Ndelinanga
15. Wizara ya Maji- Maryprisca Mahundi
16. Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo- Abdallah Ulega
17. Ofisi ya Makamu wa Rais (muungano na mazingira)- Mwita Waitara
18. Wizara ya Mambo ya Nje- William Olenasha
19. Wizara ya Maliasili na Utalii- Mary Masanja
20. Ofisi ya rais TAMISEMI- David Silinde
21. Wizara ya Kilimo- Hussein Bashe
22. Wizara ya Afya- Dk Godwin Mollel
23. Wizara ya Katiba na Sheria- Pinda Mizengo
View attachment 1642517
View attachment 1642518
View attachment 1642519
View attachment 1642520
We uko bize unapongeza tu una matatizo gani? Au ni upungufu wa akilinawapa pongezi wteule wote lakini pia nawapa pole kwani awamu hii ya 5 usisherehekee kama umeula bali unatakiwa ukaze mkanada wako na uchape kazi mchana na usiku bila kuchoka, ukubali kujitoa kwa ajili ya wananchi.
Hongera za kipekee ziende kwa mhe. Awesu kwani anastahili kabisa kufika hapo alipo fika naamini kama mawaziri wengine wataiga utendaji wa mhe Awesu wataendelee kutetea nafasi zao,
Hiyo wizara huwa ina manaibu waziri wawili, kwaio tuendelee kutega sikio.Du yule mzee mstaafu wa CRDB hayumo? nilitegemea baada ya Plan kurudishiwa wizara yake ya njuruku mzee wa watu angekuwemo kwenye baraza .
Huyu ni mdogo wake alikuwa kitengo nayeHuyu ni yule ama Junior?
Sio mtoto wake ni mdogo wake alikuwa kitengomtoto wa mizengo pinda kala shavu, naibu waziri wa katiba na sheria.