Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
prof. makame Mbarawa vipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Urongo wa Parokiani huuwatanzania tunahitaji maendeleo haijalishi nani, dini sio kigezo au sifa ya kuteua mtu, sisi watanzania tunataka mtu yeyote mchapa kazi, mweledi na mwadilifu ktk kuwatendea haki watanzania, kama alivyo Mhe. Rais mwenyewe ni mtenda haki bila ubaguzi, anawaletea maendeleo watanzania wote bila ubaguzi hiyo ndio dhamira ya kiongozi mkuu naamini pia ndio dhamira ya wateule wake.
Mkuu anzisha kiwanda chako ulipe mil 30 kwa mwezi hakuna atakayekuulizaMh, Katambi tafadhali anza na ajira za viwandani hasa viwanda vya wahindi na wachina bado kuna watanzania wanalipwa mishahara ya shg 4000 kwa siku hii sio sawa kabisa,, nakubali uwezo wako kiutendaji tafadhali tetea hawa wanyonge
Muhutu haachi ubaguzi maana Ndio asili yaoYani makabila yote yasiyo na mawaziri umeona wapare na wachaga tu? Mna usipesho gani?
Wachaga msipozinduka kwamba mambo yamebadirika mtabaki kulalamika kama mnaonewa hivyo hivyo
MmmhhPascal Njaa hajakumbukwa tu ?
Muhutu haachi ubaguzi maana Ndio asili yao
Udini
Ukabila
Ukanda
Pia vyama so kigezo? Kwa hiyo hata chadema wanaweza ongoza nchi almradi Maendeleo?watanzania tunahitaji maendeleo haijalishi nani, dini sio kigezo au sifa ya kuteua mtu, sisi watanzania tunataka mtu yeyote mchapa kazi, mweledi na mwadilifu ktk kuwatendea haki watanzania, kama alivyo Mhe. Rais mwenyewe ni mtenda haki bila ubaguzi, anawaletea maendeleo watanzania wote bila ubaguzi hiyo ndio dhamira ya kiongozi mkuu naamini pia ndio dhamira ya wateule wake.
Nape , Pascal Njaa hasa Pascal waliokaribu nae wamwangalie sana asije akajiua si kwa kuhangaikia humu JF na mada zake uchwara kasahsulika Tena maskini .January Makamba na kumsifia sanaaaaa huyo anayejiita mwendawazimu lakini kwenye baraza haramu la mawaziri NJE!
Unalamika Nini si ulichagua ccm?Hii dhana kwamba Waislamu hawakwenda shuke imetumiwa tangu kupata Uhuru kuwaengua Waislamu. Kuna bwana mmoja alitoa orodha ya Waislamu 300 wenye PHD za fani mbali mbali, karibuni zote, hata Marine sciences (PHD). Hiyo ni Zaidi ya miaka 10 iliyopita! Mtu akitaka kutukana hachagui tusi wala hajali facts. Ukweli ni kwamba, kama angekuwa rais ni Mwislamu na akafanya uteuzi kama huu, Wakristo wote mngeruka na kupaaza sauti kuwa ni 'mdini'. Tumeyaona hayo wakati wa Mwinyi na wakati wa Kikwete ambaye aliponzwa kuteuwa 30% tu ya Waislamu katika baraza lake, lo! Kauli mbiyu ya "Mdini' ilizagaa kote Tanzania! Nani asiyejua sakata la kuzongwa kwa Dr. Dau?, Kighoma Malima, Iddi Simba etc. kwa tuhuma za 'udini'? Hao wala hawakuwa viongozi wa juu!!!
Ili mradi, kila anayezungumzia ubaguzi dhidi ya Waislamu ni 'mdini'. Wanaoishiria hapa kukosekana kwa Waislamu si wadini, ni watu wanaosema ukweli tu. Na muda wa kuwa hatuambiani ukweli nchi hii itaangamia. Rais Magufuli mwenyewe kila mara anasema "Msema kweli ni mpenzi wa Mungu" Sasa asikie ukweli huu, kwamba hakufanya uadilifu katika Baraza hili na lile lililopia kwa kuwatenga 'makusudi' Waislamu. Lau wangefanyiwa Wakristo, wao pia wangesema hivyo, wazi wazi.
Why Christians in Tanzania are taking Muslims for granted? Having a proportionate representation of ethnic, religious and gender group in a cabinet make-up in Africa is not just a luxury....it saves a very important role of ensuring equitable service delivery to all citizens. In Africa where people's loyalty is mainly to their tribes, religions, and other attachments rather than 'a state' , a wide spread disenfranchisement of a particular category of people has severe consequences on that group's equal enjoyment of government services. If Magufuli is not aware of this fact, I just wonder what type of a leader is he. No. I believe this flagrant bias is a conscious and deliberate act.
The more we could speak this openly, the better will be the future of a united Tanzania. This CAN NOT GO ON- business as usual!
kwa nini tunaingiza udini? sioni kosa lolote hapo maana watanzania wote tunataka maendeleo tu sio dini za watu, maaana hata akiwa mkiristo kinacho takiwa ni awe mwadilifu kwa watu wote,