martin ben
Senior Member
- Sep 29, 2015
- 121
- 110
Kwan hao wakristo ni wakenya? Huu ni uteuzi wa Baraza la mawaziri wa Tanzania, sio la waislamu wala wakristoKati ya mawaziri 23 waislamu wawili tu duh
Waislam inabidi mpige shule sio kukimbilia madrasa tu someni elimu zote mbili
Umemeza BomuKati ya mawaziri 23 waislamu wawili tu duh
Waislam inabidi mpige shule sio kukimbilia madrasa tu someni elimu zote mbili
Huyu mzeee hatari sana sijui alichimba wapi dawaMkuchika ana mikoba ya waganga wote wa nchi hii,kama ni nyota basi yake ni ile ya venus,,mwiguli habar
Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
Mm nimewapa ushauri wasome kwakuwa waislamu elimu ya dunia hawaitakiKwan hao wakristo ni wa kenya? Huu ni uteuzi wa Baraza la mawaziri wa Tanzania, sio la waislamu wala wakristo
Mkuchika ana mikoba ya waganga wote wa nchi hii,kama ni nyota basi yake ni ile ya venus,,mwiguli habar
Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
Kigwa chonde chonde usije kuua MTOTO wako TENA!!Kuna watu hawatalala leo kwa msongo wa mawazo, kwa kukosa uteuzi.
Dkt. Kigwangalla hana option, zaidi ya kwenda kugombea nafasi ya uongozi Simba SC, ili apate nguvu ya kumdai na kumchamba Muddy zile hela alizo ahidi wakati ananunua hisa.
Pasco Mayalla amejitutumua sana kuweka makala za kumkosha Admini, kuanzia 2015 - 2020, ila nafasi zimejaa so asubiri uteuzi wa mwaka 2035.
Nimewapa ushauri wasome ili waweze kuwa na wasomi wengi siku nyingine nao watakuwa kama wakristo na kama hawataki ushauri wangu shauri yaoBila Shaka Yoyote Utakuwa Umemeza Bomu
Umemeza Bomu
Unachochea
😁😂🙄😁😅😄😄Nimewapa ushauri wasome ili waweze kuwa na wasomi wengi siku nyingine nao watakuwa kama wakristo na kama hawataki ushauri wangu shauri yao
Chadema inajua kuwapika vijana mpaka wanawaweka benchi akina Nape, Makamba hatari sanaPolepole au Nape akiuliza Swali la nyongeza akina Katambi,Silinde,Waitara ,Gekul,Mollel ndio watakuwa wanajibu.Maisha yanaenda kasi
Matangazo ya moja kwa moja kutoka Ikulu, Chamwino mkoani Dodoma kuhusu Uteuzi uliyofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli leo tarehe 05 Desemba 2020
========
Rais Magufuli pia amewateua kuwa Wabunge Dkt. Dorothy Gwajima(Alikuwa Naibu Katibu Mkuu TAMISEMI - Afya) na Dkt. Leonard Chamuliho (alikuwa Katibu Mkuu Uchukuzi).
Pia Rais Magufuli ameunda Wizara mpya ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari.
Orodha ya Mawaziri kama ilivyotangazwa na Katibu Mkuu Kiongozi.
1. Wizara ya Maji - Juma Aweso
2. Wizara ya Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo - Innocent Bashungwa
3. Wizara ya Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Vijana na wenye ulemavu - Jenister Mhagama
4. Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto - Dkt. Doroth Gwajima
5. Wizara ya Uwekezaji ofisi ya Rais - Profesa Mkumbo Kitila
6. Wizara ya Katiba na Sheria - Dkt. Mwigulu Nchemba
7. Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia - Profesa Joyce Ndalichako
8. Wizara ya Mifugo na Uvuvi -Mashimba Mashauri Ndaki
9. Wizara ya Maliasili na Utalii - Dkt. Ndumbalo Damas
10. Ofisi ya Rais TAMISEMI -Suleiman Jaffo
11. Wizara ya Madini - Dotto Biteko
12. Wizara ya Nishati - Dkt. Medard Kalemani
13. Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi - Mhandisi Dkt Leonard Chamuliho
14. Wizara ya Kilimo - Profesa Adolph Mkenda.
15. Wizara Viwanda na Biashara - Mwambie Geofrey Idelphonce
16.Wizara ya Mambo ya Ndani - George Simbachawene
17. Wizara ya Muungano na Mazingira - Ummy Mwalimu
18. Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya habari - Dkt Faustine Ndugulile
19. Wizara ya Fedha na Mipango - Dkt. Philip Mpango
20.Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki - Profesa Paramagamba Kabudi
21. Wizara ya Ardhi na Makazi -William Lukuvi
22. Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa - Elias John Kwandikwa
23. Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora - Capt Mstaafu George Mkuchika
Manaibu Waziri
1. Wizara ya Viwanda na Biashara- Kigae Silaoneka
2. Wizara wa Ardhi- Angelina Mabula
3. Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana na Ajira- Patrobas Katambi
4. Wizara ya Mambo ya Ndani- Hamis Hamza Hamisi
5. Wizara ya Fedha- Mwanaida Ali Khamis
6. Wizara ya Elimu- Kipanga Juma Omar
7. TAMISEMI- Dk Festo Ndugange
8. Wizara ya Nishati- Stephen Byabato
9. Menejimenti Utumishi wa Umma- John Ndejembi
10. Mawasiliano na Teknolojia ya Habari- Kundo Mathew
11. Wizara ya Mifugo- Pauline Gekul
12. Wizara ya Madini- Ndulane Kumba
13. Wizara ya Ujenzi- Godfrey Kasekenya
14. Ofisi ya Waziri Mkuu wenye ulemavu- Ummy Ndelinanga
15. Wizara ya Maji- Maryprisca Mahundi
16. Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo- Abdallah Ulega
17. Ofisi ya Makamu wa Rais (muungano na mazingira)- Mwita Waitara
18. Wizara ya Mambo ya Nje- William Olenasha
19. Wizara ya Maliasili na Utalii- Mary Masanja
20. Ofisi ya rais TAMISEMI- David Silinde
21. Wizara ya Kilimo- Hussein Bashe
22. Wizara ya Afya- Dk Godwin Mollel
23. Wizara ya Katiba na Sheria- Pinda Mizengo
View attachment 1642517
View attachment 1642518
View attachment 1642519
View attachment 1642520
Kimei bora angeendelea kula pension ya crdbKama nani kwa mfano?
Hungry Lion Never SleepKimei bora angeendelea kula pension ya crdb
Kwani wewe unautaka muungano? Si Lisu wenu alisema chadema hamna masilahi yeyote zanzibar?Huyu mtu ni mbaguzi sana
Baraza la mawaziri wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania hakuna mzanzibari hata mmoja
Basi liwe baraza la watanganyika,,,
Yaani waislamu 3 wakristo 20
Kweli muhutu haachi ubaguzi
Lissu alisema muungano wa dizaini hii unamatatizo lakini kafiri akasema muungano upo sawa Leo kawasaliti wazanzibari ama kweli kafiri ni najisiKwani wewe unautaka muungano? Si Lisu wenu alisema chadema hamna masilahi yeyote zanzibar?
Na Plan atakuwa waziri wa nini wakati tayari alishateuliwa mwanzoni kabisa,mzee wa kilalacha Imei hana chake,alijazwa kichwa akadhani atapewa uwaziri labda asuburu second selection ya kidato cha sita hah hahKimei waziri wa pesaaaaa
Mwana Fa naibu sanaa(basata watamkomaje)
Utabiri tu
Huyu mtu ana nia ya kuchochea vurugu, mungu amlani, kwenye youtube pia kuna mtu ameandika exactly kama ilivyo andikwa hapa kwahiyo atakua mtu huyohuyo anajaribu kuchochoea moto huyuBila Shaka Yoyote Utakuwa Umemeza Bomu
Umemeza Bomu
Unachochea
Huo ni unyanyapaa mkuu na sio kweli km waislamu hawajasoma. Mi ni mkristo ila unawakosea ndugu zetu.Mm nimewapa ushauri wasome kwakuwa waislamu elimu ya dunia hawaitaki