Ikulu, Chamwino: Rais Magufuli ateua Baraza la Mawaziri lenye Wizara 23. Aunda Wizara mpya ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

Ikulu, Chamwino: Rais Magufuli ateua Baraza la Mawaziri lenye Wizara 23. Aunda Wizara mpya ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

Kuna watu hawatalala leo kwa msongo wa mawazo, kwa kukosa uteuzi.

Dkt. Kigwangalla hana option, zaidi ya kwenda kugombea nafasi ya uongozi Simba SC, ili apate nguvu ya kumdai na kumchamba Muddy zile hela alizo ahidi wakati ananunua hisa.

Pasco Mayalla amejitutumua sana kuweka makala za kumkosha Admini, kuanzia 2015 - 2020, ila nafasi zimejaa so asubiri uteuzi wa mwaka 2035.
Kigwa chonde chonde usije kuua MTOTO wako TENA!!
 
Polepole au Nape akiuliza Swali la nyongeza akina Katambi,Silinde,Waitara ,Gekul,Mollel ndio watakuwa wanajibu.Maisha yanaenda kasi
Chadema inajua kuwapika vijana mpaka wanawaweka benchi akina Nape, Makamba hatari sana
 
Matangazo ya moja kwa moja kutoka Ikulu, Chamwino mkoani Dodoma kuhusu Uteuzi uliyofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli leo tarehe 05 Desemba 2020



========
Rais Magufuli pia amewateua kuwa Wabunge Dkt. Dorothy Gwajima(Alikuwa Naibu Katibu Mkuu TAMISEMI - Afya) na Dkt. Leonard Chamuliho (alikuwa Katibu Mkuu Uchukuzi).

Pia Rais Magufuli ameunda Wizara mpya ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari.

Orodha ya Mawaziri kama ilivyotangazwa na Katibu Mkuu Kiongozi.

1. Wizara ya Maji - Juma Aweso

2. Wizara ya Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo - Innocent Bashungwa

3. Wizara ya Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Vijana na wenye ulemavu - Jenister Mhagama

4. Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto - Dkt. Doroth Gwajima

5. Wizara ya Uwekezaji ofisi ya Rais - Profesa Mkumbo Kitila

6. Wizara ya Katiba na Sheria - Dkt. Mwigulu Nchemba

7. Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia - Profesa Joyce Ndalichako

8. Wizara ya Mifugo na Uvuvi -Mashimba Mashauri Ndaki

9. Wizara ya Maliasili na Utalii - Dkt. Ndumbalo Damas

10. Ofisi ya Rais TAMISEMI -Suleiman Jaffo

11. Wizara ya Madini - Dotto Biteko

12. Wizara ya Nishati - Dkt. Medard Kalemani

13. Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi - Mhandisi Dkt Leonard Chamuliho

14. Wizara ya Kilimo - Profesa Adolph Mkenda.

15. Wizara Viwanda na Biashara - Mwambie Geofrey Idelphonce

16.Wizara ya Mambo ya Ndani - George Simbachawene

17. Wizara ya Muungano na Mazingira - Ummy Mwalimu

18. Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya habari - Dkt Faustine Ndugulile

19. Wizara ya Fedha na Mipango - Dkt. Philip Mpango

20.Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki - Profesa Paramagamba Kabudi

21. Wizara ya Ardhi na Makazi -William Lukuvi

22. Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa - Elias John Kwandikwa

23. Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora - Capt Mstaafu George Mkuchika


Manaibu Waziri

1. Wizara ya Viwanda na Biashara- Kigae Silaoneka

2. Wizara wa Ardhi- Angelina Mabula

3. Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana na Ajira- Patrobas Katambi

4. Wizara ya Mambo ya Ndani- Hamis Hamza Hamisi

5. Wizara ya Fedha- Mwanaida Ali Khamis

6. Wizara ya Elimu- Kipanga Juma Omar

7. TAMISEMI- Dk Festo Ndugange

8. Wizara ya Nishati- Stephen Byabato

9. Menejimenti Utumishi wa Umma- John Ndejembi

10. Mawasiliano na Teknolojia ya Habari- Kundo Mathew

11. Wizara ya Mifugo- Pauline Gekul

12. Wizara ya Madini- Ndulane Kumba

13. Wizara ya Ujenzi- Godfrey Kasekenya

14. Ofisi ya Waziri Mkuu wenye ulemavu- Ummy Ndelinanga

15. Wizara ya Maji- Maryprisca Mahundi

16. Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo- Abdallah Ulega

17. Ofisi ya Makamu wa Rais (muungano na mazingira)- Mwita Waitara

18. Wizara ya Mambo ya Nje- William Olenasha

19. Wizara ya Maliasili na Utalii- Mary Masanja

20. Ofisi ya rais TAMISEMI- David Silinde

21. Wizara ya Kilimo- Hussein Bashe

22. Wizara ya Afya- Dk Godwin Mollel

23. Wizara ya Katiba na Sheria- Pinda Mizengo

View attachment 1642517
View attachment 1642518
View attachment 1642519
View attachment 1642520
 
Huyu mtu ni mbaguzi sana
Baraza la mawaziri wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania hakuna mzanzibari hata mmoja
Basi liwe baraza la watanganyika,,,
Yaani waislamu 3 wakristo 20
Kweli muhutu haachi ubaguzi
Kwani wewe unautaka muungano? Si Lisu wenu alisema chadema hamna masilahi yeyote zanzibar?
 
Kwani wewe unautaka muungano? Si Lisu wenu alisema chadema hamna masilahi yeyote zanzibar?
Lissu alisema muungano wa dizaini hii unamatatizo lakini kafiri akasema muungano upo sawa Leo kawasaliti wazanzibari ama kweli kafiri ni najisi
 
Kimei waziri wa pesaaaaa

Mwana Fa naibu sanaa(basata watamkomaje)

Utabiri tu
Na Plan atakuwa waziri wa nini wakati tayari alishateuliwa mwanzoni kabisa,mzee wa kilalacha Imei hana chake,alijazwa kichwa akadhani atapewa uwaziri labda asuburu second selection ya kidato cha sita hah hah
 
Bila Shaka Yoyote Utakuwa Umemeza Bomu

Umemeza Bomu
Unachochea
Huyu mtu ana nia ya kuchochea vurugu, mungu amlani, kwenye youtube pia kuna mtu ameandika exactly kama ilivyo andikwa hapa kwahiyo atakua mtu huyohuyo anajaribu kuchochoea moto huyu
 
Back
Top Bottom