Ikulu, Chamwino: Rais Magufuli ateua Baraza la Mawaziri lenye Wizara 23. Aunda Wizara mpya ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

Ikulu, Chamwino: Rais Magufuli ateua Baraza la Mawaziri lenye Wizara 23. Aunda Wizara mpya ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

RAIS JOHN MAGUFULI AFANYA UTEUZI WA BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI TANZANIA

Jumla ya Mawazi 21

(1) Ulinzi - Elias Kuandikwa
(2) Mambo ya Ndani -
(3) Ujenzi - Mhandisi Chamlilo
(4). Afya - Dkt Gwajima
(5) Elimu - Professor Ndalichako
(6) Tamisemi - Suleiman Jafo
(7) Utumishi. - Joji Mkuchika
(8). Muungano -
(10) Kilimo. - Adolph Mkenda
(11) Mifugo. - Mashimba Mashauri
(12). Ardhi - William Lukuvi
(13). Waziri Mkuu - Jenister Mhagama
(14). Uwekezaji - Professor Kitila Mkumbo
(15) Katiba - Mwigilu Nchemba
(16) Nishati - Kalemani
(17) Madini - Dotto Biteko
(18) Maji - Juma Aweso
(19) Maliasili na Utalii - Dkt Ndumbaro
(20)
(21)

QUOTE="Roving Journalist, post: 37485031, member: 429096"]
Matangazo ya moja kwa moja kutoka Ikulu, Chamwino mkoani Dodoma kuhusu Uteuzi uliyofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli leo tarehe 05 Desemba 2020

[/QUOTE]
Uzushi huu
 
RAIS JOHN MAGUFULI AFANYA UTEUZI WA BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI TANZANIA

Jumla ya Mawazi 21

(1) Ulinzi - Elias Kuandikwa

(2) Mambo ya Ndani - George Simbachawene

(3) Ujenzi - Mhandisi Chamlilo

(4). Afya - Dkt Doroth Gwajima

(5) Elimu - Professor Joyce Ndalichako

(6) Tamisemi - Suleiman Jafo

(7) Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala bora. - Joji Mkuchika

(8). Muungano - Ummy Mwalim

(10) Kilimo. - Adolph Mkenda

(11) Mifugo. - Mashimba Mashauri Ndaki

(12). Ardhi - William Lukuvi

(13) Ofisi Ofisi ya Waziri Mkuu Bunge - Jenister Mhagama

(14) Ofisi ya Rais Uwekezaji - Professor Kitila Mkumbo

(15) Katiba na Sheria - Mwigilu Nchemba

(16) Nishati - Kalemani

(17) Madini - Dotto Biteko

(18) Maji - Juma Aweso

(19) Maliasili na Utalii - Dkt Ndumbaro

(20) Waziri wa Michezo Innocent Bashungwa

(21) Waziri wa Viwanda na Biashara Geofrey Mwambe
 
Matangazo ya moja kwa moja kutoka Ikulu, Chamwino mkoani Dodoma kuhusu Uteuzi uliyofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli leo tarehe 05 Desemba 2020

========

=> Rais Magufuli amemteua Ummy Mwalimu kuwa Muungano na Mazingira

=>Rais amemteua Angelina Mabula kuwa Naibu Waziri wa Ardhi

=>Rais Magufuli amemteua Mashimba Ndaki kuwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi

=>Pia, amemteua Seleman Jafo kuwa Waziri wa TAMISEMI

=>Rais Magufuli amemteua Prof. Adolf Mkenda kuwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi

=> Pia, amemteua George Simbachawene kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani

=>Rais Magufuli amemteua Ndumbaro Damas kuwa Waziri wa Maliasili na Utalii

=>Medard Kalemani ameteuliwa kuwa Waziri wa Nishati

=>Rais Magufuli amemteua Mwigulu Nchemba kuwa Waziri wa Katiba na Sheria

=> Joyce Ndalichako ameteuliwa kuwa Waziri wa Elimu
Hawana faida yoyote hao mafisadi
 
Hongera sana swahiba comrade Patrobass P.Katambi.....you really deserves Kaka....

Uko charismatic, zealot n dedicated....

MAENDELEO HAYANA VYAMA
Comment ya kufungulia baraza la mawaziri
Katambi anafaa sanaa👍

Mungu ibariki Tanzania, Mungu mbariki rais wetu John Pombe Magufuli na wasaidizi wake
 
Afya; Gwajima. Safi sana. Sasa ufufuo na uzima umeingia kazini. Mtu akifa na ndugu hawana hela za kulipia gharama basi waziri anakuja anamfufua kwa muda akatafute hela alipe kisha anakufa tena.
Hela za ARV wakizuia mabeberu, Waziri anashusha "kalamashabda mashnd ......" hadi ugonjwa unapotea.
Kweli mabeberu wamewezwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
BARAZA LA MAWAZIRI: Rais John Magufuli, amemteua Dk. Dorothy Gwajima kuwa Mbunge wa Bunge la Tanzania. Pia, amemteua kuwa Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na watoto.
 
Comment ya kufungulia baraza la mawaziri
Katambi anafaa sanaa👍

Mungu ibariki Tanzania, Mungu mbariki rais wetu John Pombe Magufuli na wasaidizi wake
....smartest young man!!

Aaamin aaamin.

Hasta la Victoria TANZANIA
Siempre Siempre TANZANIA
 
Ndio huyo Dr Dorothy Gwajima

Aliipambaniaje mkuu[emoji28][emoji28][emoji28]

Daaah! Hongera kwake. Kwa upande mmoja anastahili kwasababu ni mpambanaji, lakini kajipendekeza sana hasa kipindi cha kampeni hadi baadhi ya miiko ya kazi yake aliivuka.
 
Back
Top Bottom