Ikulu, Chamwino: Rais Magufuli ateua Baraza la Mawaziri lenye Wizara 23. Aunda Wizara mpya ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

Ikulu, Chamwino: Rais Magufuli ateua Baraza la Mawaziri lenye Wizara 23. Aunda Wizara mpya ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

Najua kati ya hao mawaziri, mmoja atakuwa rais ajaye! Je, ni nani kati ya hao?
 
Mkuu anzisha kiwanda chako ulipe mil 30 kwa mwezi hakuna atakayekuuliza
Hili jibu lingetoka kwa mlengwa ingependeza zaidi sio kwa kapuku kama wewe,, samahani sina muda wa kujibizana na wanuka mkojo
 
watanzania tunahitaji maendeleo haijalishi nani, dini sio kigezo au sifa ya kuteua mtu, sisi watanzania tunataka mtu yeyote mchapa kazi, mweledi na mwadilifu ktk kuwatendea haki watanzania, kama alivyo Mhe. Rais mwenyewe ni mtenda haki bila ubaguzi, anawaletea maendeleo watanzania wote bila ubaguzi hiyo ndio dhamira ya kiongozi mkuu naamini pia ndio dhamira ya wateule wake.
Wewe jiongelee peke yako lakini watanzania wanaojali uwiano kwenye baraza la mawaziri wako wengi. Lazima ikumbukwe uwazirini kazi muhimu serikalini na inatoa nafasi kwa mtu kulitumikia taifa lake kwenye ngazi ya juu na kujipatia uzoefu mkubwa serikalini. Marais wote Tanzania pia hupitia cheo cha uwaziri kabla ya kuwa rais.

Tatizo ni kwamba hakuwezi kuwa na tabaka la wakristo kwenye nafasi za uongozi serikalini kwa kisingizio eti watanzania hawajali kuwa waziri ni dini gani. Kiufupi waislamu wanajali. Sishangazwi na wakristo wengi wakijifanya kutoa visingizio eti hakuna tatizo kwasababu hizi fursa zimekwenda upande wao. Hizi bullshit stories kwamba waislamu hawajasoma hutumiwa sana kama kisingizio cha kuhalalisha hujuma.
 
Waislamu Ndio wengi nchi hii lakini wasomi wengi ni wakristo
Hata hivyo huwezi kusema Bara na visiwani kuna waislamu 3 tu Ndio wamesoma
Magufuli tangu aingie madarakani amejitahidi kuondoa jamii ya waislamu. Wachagga na wapare serikalini
Haya sasa wapare waziri 0 wachagga 1 Wasukuma 5
This is not coming by chance is well planned na utaona baadae hao watatu waislamu watapigwa chini
Ni suala la muda tuu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hongereni sana Vijana naona Tanzania ya kesho itakuwa nzuri yenye Vijana wenye Uzoefu mkubwa wa madaraka. Ombi langu kwenu Vijana mjiamini na mshauri Rais wetu vyema hilo Baraza lisije kugeuka kuwa la Ndio Mzee!
 
Hili jibu lingetoka kwa mlengwa ingependeza zaidi sio kwa kapuku kama wewe,, samahani sina muda wa kujibizana na wanuka mkojo
Lugha kama hii inaonesha jinsi gani uko insecured. Wapumbavu tu ndiyo wana resort kwenye matusi ili kujipa tumaini la muda. So kwa kunitukana unadhani ndiyo nimekuwa kapuku?
 
Huyu mtu ni mbaguzi sana
Baraza la mawaziri wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania hakuna mzanzibari hata mmoja
Basi liwe baraza la watanganyika,,,
Yaani waislamu 3 wakristo 20
Kweli muhutu haachi ubaguzi

Waislam warudi tu kwenye njia zao za kujipatia kipato za asili, uchuuzi mdogo mdogo kuanzia sokoni, magenge mpaka kwenye biashara kubwa za usafirishaji, mafuta (Petrol Stations)

Nigeria walio shika serikali ni Waislam lkn hapa ni Wakristu ndo asili hiyo

Watu watoboe kwenye biashara tu na kazi ambazo hazipo ktk mambo ya serikal maana kuna invisible power ipo nyuma ndo inatakaje yaani sipati picha baraza lote lingekuwa la Waislam afu hao watatu ndo wengineo leo pasingelalika haha

Mtu mweusi anasumbuliwa sana na historia hii

Katiba ina ruhusu kweli kuchagua bila misingi ya dini wala ukanda lakini busara na historia ina nguvu ktk maamuzi ya wote sioni sababu kwa nchi ambayo Waislam na Wakristu hakuna minority afu kuunda baraza kama hili, kwanini watu waache mianya ya chuki kwa busara ya kawaida tu ingetumika

Hivi wale wahubiri kama kina Ponda wakianza kuchanganua hizi fact na kuna baadhi wakaanza kumeza sumu mbaya hauoni kuna mbegu sio nzuri zinaweza kutumiiza wote waliokuwemo na wasiokuwemo

Busara na ushauri mzuri kwa faida ya wote ni muhimu na kuna watu wanatakiwa kumshauri mkuru vzr na je vyombo vyetu vya usalama hasa idara ya usalama wa Taifa hawaoni pia mitego hii ya maamuzi inabyoweza leta hatari kwa wote sisi siku za usoni??
 
Hongera Mh.Dkt.Eng. Leonard Chamuliho kuteuliwa kuwa Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi.
 
Nimekuuliza nyie wachaga mna uspesho gani katika nchi hii?

Unafikiri bado tuko 1960 hii?
Mkuu hebu picture this:
Waziri wa Afya Mchagga
Katibu Mkuu wa Afya Mchagga
Mganga Mkuu wa Serikali Mchagga
CEO wa National Hospital Mchagga

Sasa jiulize mwenyewe hawa Wachagga wana uspecial gani ambao makabila mengine gote hawana. Ukimaliza kutafakari ondoa Mchagga weka Msukuma hapo juu


Kwenye Uzanzibar, ukanda, gender na dini tutaangalia baadae
 
Back
Top Bottom