Ikulu, Chamwino: Rais Magufuli ateua Baraza la Mawaziri lenye Wizara 23. Aunda Wizara mpya ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

Ikulu, Chamwino: Rais Magufuli ateua Baraza la Mawaziri lenye Wizara 23. Aunda Wizara mpya ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

Haya Mambo ya udini na ukabila ni nonsense, serikali hii siyo ya dini fulani au kabila fulani, Rais anapofanya uteuzi kigezo kikubwa anachoongalia ni uwezo wa mtu katika utendaji kazi. Mawaziri wengi kuwa wakristu ni coincidence tu..
Unasema hivi sababu kundi lako wako wengi. Wangekua wao ndo wako watatu ungesema kuna udini.
 
Zile Wizara ambazo zimepewa waliokuwa Makatibu na Manaibu katibu, nahisi kutatokea mgongano wa kikazi

Wizara kama ya Ujenzi,na Afya Katibu Mkuu mpya atajikuta anafanya kazi na Waziri anaejiona kama bado Katibu

Kuna tofauti kubwa sana ya Kazi za Waziri na Katibu Mkuu, naona kama Baraza lipo ki Katibu katibu wa Wizara
 
Acheni wanga kwenye kazi za wengine, mtu unamwanzia nani atumbuliwe dah, tutafute pesa tuache mawazo ya kimaskini
Binafsi nashangaa mtu anasema nani ataanza kutumbuliwa wewe inakusaidia nini
Tuache roho za ovyo na hao tunao wasema wapo mbali kwa mafanikio
 
nauliza hivi ikiwa dini moja inamawaziri wengi kuna manufaa gani huwa wanapata dini husika? na pia dini isiyo na mawaziri wengi inapata madhara gani?
Kupunguza Jobless kwenye dini husika.

By the way viongozi hawa ni wanajamii huku mitaani. The more akiwa economical well ndio atakavyosaidia jumuia zake za mitaani ikiwemo jumuia za kidini anazoshiriki.
 
Huyu msukuma anatuharibia nchi aisee yaan mtu na mkewe unawateua maana ubunge wa Gwajiboy tunajua kabebwa tu Leo Tena mke wake uwaziri daaah
Unamjua vizuri huyu Dorothy Gwajima au unaropoka tu, eti mtu na mkewe, kama hujui kitu uliza usilete habari za uongo mtandaoni
 
Hii dhana kwamba Waislamu hawakwenda shuke imetumiwa tangu kupata Uhuru kuwaengua Waislamu. Kuna bwana mmoja alitoa orodha ya Waislamu 300 wenye PHD za fani mbali mbali, karibuni zote, hata Marine sciences (PHD). Hiyo ni Zaidi ya miaka 10 iliyopita! Mtu akitaka kutukana hachagui tusi wala hajali facts. Ukweli ni kwamba, kama angekuwa rais ni Mwislamu na akafanya uteuzi kama huu, Wakristo wote mngeruka na kupaaza sauti kuwa ni 'mdini'. Tumeyaona hayo wakati wa Mwinyi na wakati wa Kikwete ambaye aliponzwa kuteuwa 30% tu ya Waislamu katika baraza lake, lo! Kauli mbiyu ya "Mdini' ilizagaa kote Tanzania! Nani asiyejua sakata la kuzongwa kwa Dr. Dau?, Kighoma Malima, Iddi Simba etc. kwa tuhuma za 'udini'? Hao wala hawakuwa viongozi wa juu!!!
Ili mradi, kila anayezungumzia ubaguzi dhidi ya Waislamu ni 'mdini'. Wanaoishiria hapa kukosekana kwa Waislamu si wadini, ni watu wanaosema ukweli tu. Na muda wa kuwa hatuambiani ukweli nchi hii itaangamia. Rais Magufuli mwenyewe kila mara anasema "Msema kweli ni mpenzi wa Mungu" Sasa asikie ukweli huu, kwamba hakufanya uadilifu katika Baraza hili na lile lililopia kwa kuwatenga 'makusudi' Waislamu. Lau wangefanyiwa Wakristo, wao pia wangesema hivyo, wazi wazi.
Why Christians in Tanzania are taking Muslims for granted? Having a proportionate representation of ethnic, religious and gender group in a cabinet make-up in Africa is not just a luxury....it saves a very important role of ensuring equitable service delivery to all citizens. In Africa where people's loyalty is mainly to their tribes, religions, and other attachments rather than 'a state' , a wide spread disenfranchisement of a particular category of people has severe consequences on that group's equal enjoyment of government services. If President Magufuli is not aware of this fact, I just wonder what type of a leader is he. No. I believe this flagrant bias is a conscious and deliberate act.
The more we could speak about this openly, the better will be the future of a united Tanzania. This CAN NOT GO ON- business as usual!
Dogo apa umeshusha facts kinoma...at mi padri nimekuelewa......kwamba rais angekua muislam na Baraza la mawaziri lingekua na waislamu wengi basi hakika wakristo tungelalamika

ILA
Ndugu zetu nyie waislamu mkiingia serikalini munawaza mahakama ya Kadhi na kutaka ku impose sheria zenu na tamaduni zenu zitumike nchi nzima.....
 
Busara na ushauri mzuri kwa faida ya wote ni muhimu na kuna watu wanatakiwa kumshauri

Ashauriwe kwani hayajui haya?

AMETAMKA YEYE MWENYEWE kwamba tumpe muda kidogo asuke cabinet kwa sababu ana mambo mengi magumu ya kuzingatia likiwemo la mgawanyo wa uongozi kulingana na uwiano wa maeneo na makundi ya kijamii.

Alisema haya akimwapisha Majaliwa.

Maeneo na makundi ya kijamii aliyokuwa anayaongelea kuyatafutia uwiano wa mavyeo ni yepi, wakulima ma wafugaji ??????
 
Kwa jinsi Mkulu asivyowapenda kundi "Lile" hoja ya kubadilishana au kupokezana isahau kabisa
Masisiemu Sasa ndio yamejua kiasi ambacho magufuli hawaamini.

Yaani kawapa Watoto wake, Na mbuzi za chadema alizonunua mnadani na zile ng'ombe za jalalani udsm pale bila kusahau lakezonelization, watu wa Kanda ya ziwa.

Masisiemu yamepigwa na butwaa
 
Dogo apa umeshusha facts kinoma...at mi padri nimekuelewa......kwamba rais angekua muislam na Baraza la mawaziri lingekua na waislamu wengi basi hakika wakristo tungelalamika

ILA
Ndugu zetu nyie waislamu mkiingia serikalini munawaza mahakama ya Kadhi na kutaka ku impose sheria zenu na tamaduni zenu zitumike nchi nzima.....
Hii paragraph ya mwisho ndo tatizo!
Tutakuwa km uarabuni kuishi kwa 'sharia'hatutaki haya mambo!
 
Wewe jiongelee peke yako lakini watanzania wanaojali uwiano kwenye baraza la mawaziri wako wengi. Lazima ikumbukwe uwazirini kazi muhimu serikalini na inatoa nafasi kwa mtu kulitumikia taifa lake kwenye ngazi ya juu na kujipatia uzoefu mkubwa serikalini. Marais wote Tanzania pia hupitia cheo cha uwaziri kabla ya kuwa rais.

Tatizo ni kwamba hakuwezi kuwa na tabaka la wakristo kwenye nafasi za uongozi serikalini kwa kisingizio eti watanzania hawajali kuwa waziri ni dini gani. Kiufupi waislamu wanajali. Sishangazwi na wakristo wengi wakijifanya kutoa visingizio eti hakuna tatizo kwasababu hizi fursa zimekwenda upande wao. Hizi bullshit stories kwamba waislamu hawajasoma hutumiwa sana kama kisingizio cha kuhalalisha hujuma.
Well said. Dr Ashatu Hajasoma na wenzake wengi wapo. Kila kitu kina mwanzo na mwisho. Lakn simlaumu Rais kwakuwa hata hao waislam wakichaguliwa hawana Tija yoyote kwenye Dini.
 
Hiyo asilimia 3 umeipataje mkuu? Yaani mawaziri 3 Kati ya 23 ndo asilimia 3?
Nilihesabu mpaka na manaibu waziri, mawaziri na manaibu jumla ni 46. Na hata kwa hesabu nilizopiga waislam ilitakiwa wawe 2.3%.

Kwasababu kutoka kwenye nafasi za mawaziri pamoja na manaibu nilipata majina ya waislamu matano tu, sasa hiyo 3% ni makadirio ya juu labda kama kuna kuna muislamu sikumuhesabu.

Ndiyo maana nikasema takriban 3%. Kwa hesabu za mawaziri kamili hesabu zinakuwa za kusikitisha kabisa. Mawaziri 23, waislamu 3, waislamu wanakuwa ni 0.69% katika baraza zima.
 
Dokta Festo John Lugange, Naibu Waziri Tamisemi ndiyo aliyekuwa DMO kinondoni baadaye RMO Simiyu au nimechanganya majina.
 
Back
Top Bottom