Ikulu, Chamwino: Rais Samia Suluhu Hassan amwapisha Dkt. Philip Mpango kuwa Makamu wa Rais wa JMT

Jafo na palamagamba hawana wizara,wabunge wa kawaida
 
Mama Samia amesema sasa ni awamu ya sita.....hakuna eti awamu ya tano. Wameshusha bendera ya awamu ya tano siku yeye ameapishwa na kupandishwa bendera ya Raid awamu ya sita
 
Piga ua galagaza zika funua
Mwendo ni ule ule tunatembea na LEGACY/PRODUCTS ZA MAGUFURI

TEAM MSOGA PLEASE Excuse us
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…