guwe_la_manga
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 2,820
- 2,758
leteni vitu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jafo na palamagamba hawana wizara,wabunge wa kawaida
Kweli👍Jaffo: Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais.
Kabudi: Waziri wa Sheria na Katiba.
usicheze na kutemeshwa ugali weweKuna kituko amekifanya Bashiru sijui kama mmekiona wenzangu?
Amewekwa wapi huyu mbuzi maana hakupaswa kabisa kubakiMwiguru mganga wake huwa ni kiboko
Kituko gani?Kuna kituko amekifanya Bashiru sijui kama mmekiona wenzangu?
Wacha Bhwaaanah!
What do you mean by out!!???Liberata mulamula...wazi mambo ya nje. Palamagamba out
Tujuze mzeeKuna kituko amekifanya Bashiru sijui kama mmekiona wenzangu?
kafanyaje?Kuna kituko amekifanya Bashiru sijui kama mmekiona wenzangu?
Jina lake nani mkuu?katibu mkuu kiongozi mteule ni balozi wa tanzania nchini japani bashiru ally ameenda bungeni.
Hawajapigwa nje mkuu? Mama asitutanie asee, huyu dorothy hafai kabisaaTubaki kuheshimu hizi Teuzi za Rais lakini...Wizara ya Afya, Waziri na Naibu wake wana maigizo sana kwakweli..!