Ikulu, Chamwino: Rais Samia Suluhu Hassan amwapisha Dkt. Philip Mpango kuwa Makamu wa Rais wa JMT

Mama ahataki timu Magu wala timu kikwete yeye anataka kazi na kasisitiza anataka kazi.
 
Tubaki kuheshimu hizi Teuzi za Rais lakini...Wizara ya Afya, Waziri na Naibu wake wana maigizo sana kwakweli..!
 
Tubaki kuheshimu hizi Teuzi za Rais lakini...Wizara ya Afya, Waziri na Naibu wake wana maigizo sana kwakweli..!
Hawajapigwa nje mkuu? Mama asitutanie asee, huyu dorothy hafai kabisaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…