Ikulu, Chamwino: Rais Samia Suluhu Hassan amwapisha Dkt. Philip Mpango kuwa Makamu wa Rais wa JMT

Tatizo mnataka kujua yasiyo wahusu, mwacheni raisi afanye kazi yake
Afanye ila sisi wananchi ndio waathirika wa utendaji mbovu wa hao wateule ndio maana tunataka kujua kila kitu
 
Mama yupo very calm and well informed. Congrats to our TISS team for deep screening of the new appointments. Mazuri mengi yanakuja tuwe wapole.
 
Mwigulu naona alipagawa,naona alishusha pumzi ndefu na kushukuru aliposikia kapewa wizara ya fedha,
 
Ila Mwigulu awe makini kwahuyu mama hana mzaha kabisa akicheza hatamaliza hata mwaka.
Huenda ni mtego.. Ukitaka kumkamata wizi acha mlango wazi halafu lala kama Sungura Pori [emoji2957]
 
Hivi kwa nini makamo wa kwanza wa Zanzibar hakuhudhuria?
 
Hongera kwa Makamu wa Rais Mhe. Mpango sasa ni muda wa kuchapa kazi tu.
sisi wananchi wenu tunataka kuona matokeo na maendeleo. hatutaki maneno maneno tunataka vitendo vya kazi.
 
Hakuna siku nimepata furaha kama leo yani Nina furaha machaguo mazuri isipokuwa eneo moja tu la wizara ya afya tunataka mtu serious katika eneo hili mfano angemrudisha Faustine Ndugulile hapa tungekuwa na mtaalamu asie Fata tumbo kama Doroth anaeidhalilisha tasnia ya afya kila kukicha
 
Mchawi mpe mwanao amlea ndicho kilichotokea ktk hotuba ya Mh.Rais Mama Samia kuhusu Kero hii ya Muungano!

Sasa sijui ilikuwaje...yaelekea kulikuwa na shida na amesema kuwa Dk Mpango na Wchawi /Wanga wenzake ndio walio kuwa Wamekalia suala Hilo!

Kauli hii imebeba ujumbe mzito sana kuhusu Hali yaa Muungano!

Kumbuka Makamu was Kwanza wa Rais wa Zanzibar alifukuzwa Uanasheruaa Mkuu kwa kutaka kulinda Maslahi yq Zanzibar baada ya wenzake ku..compromise!

What a coincidence !

Leo ni Makamu wa Rais bila Shaka anajua mwana ambaye Mh. Rais kamkabidhi Dk Mpango leo

Maendeleo hayana Chama!

Yetu macho!
 
Aisee umetumia kinywaji Leo!!!
kama ni bangi basi hii uliyovuta Leo ni noma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…