Mubashara Rais Samia akimwapisha makamu wa Rais Dkt. Mpango leo Ikulu Chamwino
Update:
Anasubiriwa mhe. Samia Suluhu Hassan kuingia na kiapo kuanza.
View attachment 1739575
Saa15:11- Mhe. Dkt. Mpango akiapa.
Saa 15:13 akienda kukalia kiti cha makamu wa Rais.
Salamu kubwa za Rais ni mabadiliko madogo ya baraza la mawaziri wa Jamhuri ya Muungano Tanzania kama ifuatavyo:
Sulemani Jafo ameteuliwa kuwa Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais, na Naibu Waziri atakuwa Hamad Hassan Chande
-
Ofisi ya Waziri Mkuu - Uwekezaji, Waziri atakuwa Geofrey Mwambe na Naibu wake ni William Tate Olenasho
-
Palamagamba Kabudi atakuwa Waziri wa Sheria na Katiba na Naibu Waziri atakuwa Geofrey Mizengo Pinda.
-
Wizara ya Biashara na Viwanda, Waziri atakuwa Alexander Mkumbo. Innocent Bashungwa ameteuliwa kuwa Waziri wa Michezo