Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Ndio upumbavu wa ccm huoOdiga ana maslahi gani na TANZANIA??
Unakutana na mpinzani wa nchi nyingine halafu wako umewapa makosa ya Ugaidi?
Unamfananisha Odinga na hawa wapinzani wasaka tonge wa TZ? Odinga ni mwanasiasa mashuhuri zaidi A. Mashariki na kati, anahitaji heshima yake!! TZ hamna upinzani serious wa Rais kubother kukutana nao, wapinzani wa TZ ni wa kuwapuuzaOdiga ana maslahi gani na TANZANIA??
Unakutana na mpinzani wa nchi nyingine halafu wako umewapa makosa ya Ugaidi?
Kuna wakati najiuliza kama watanzania tumelogwa na nani. Polisi wakitutesa pia twaona ni haki yetu kuteswa, laiti tungejitambua.....Unamfananisha Odinga na hawa wapinzani wasaka tonge wa TZ? Odinga ni mwanasiasa mashuhuri zaidi A. Mashariki na kati, anahitaji heshima yake!! TZ hamna upinzani serious wa Rais kubother kukutana nao, wapinzani wa TZ ni wa kuwapuuza
Seriously hawa jamaa wa mamlaka ya teuzi waanze kuwaangalia diaspora kwenye nafasi serikalini.
Yaani nchi imepatwa na ‘major incident’ ey polisi watatu wamepoteza maisha, mlinzi mmoja na gaidi (or some crazy gunman) alieuliwa.
Jambo limetokea mchana kweupe, kiongozi wa nchi badala ya kulifariji jeshi la polisi na kutoa pole kwa wafiwa, habari muhimu kutoka Ikulu ni raisi kukutana na Kiongozi wa upinzani kutoka Kenya.
Hivi viazi wengine wanafikaje kuwa mpaka washauri wa raisi wa maswala ya siasa.
Muda wa ku comfort wafiwa na kutoa assurance this is an isolated incident wanatuambia wakati watu wanatupiana risasi mbele ya kadamnasi raisi alikuwa ana chat someone who is a nobody na hiyo ndio habari muhimu kwao.
Pia huyu ni mwakulishi wa au kuhusu miundo mbinuUnamfananisha Odinga na hawa wapinzani wasaka tonge wa TZ? Odinga ni mwanasiasa mashuhuri zaidi A. Mashariki na kati, anahitaji heshima yake!! TZ hamna upinzani serious wa Rais kubother kukutana nao, wapinzani wa TZ ni wa kuwapuuza
Chamwino na Chatto kwaheriIkulu ya Magogoni leo Mchana
Kwani ukikutana na mtu ndio unachagua upande, mbona amekutana sana na rutoHaya. Samia anaanza kuchagua upande mapema hivi? Ruto akiingia tunaanza upya vita baridi?
Ameshatoa pole masaa ma 4 yaliyopita, uwe unafuatilia kabla hujalalamikaSeriously hawa jamaa wa mamlaka ya teuzi waanze kuwaangalia diaspora kwenye nafasi serikalini.
Yaani nchi imepatwa na ‘major incident’ ey polisi watatu wamepoteza maisha, mlinzi mmoja na gaidi (or some crazy gunman) alieuliwa.
Jambo limetokea mchana kweupe, kiongozi wa nchi badala ya kulifariji jeshi la polisi na kutoa pole kwa wafiwa, habari muhimu kutoka Ikulu ni raisi kukutana na Kiongozi wa upinzani kutoka Kenya.
Hivi viazi wengine wanafikaje kuwa mpaka washauri wa raisi wa maswala ya siasa.
Muda wa ku comfort wafiwa na kutoa assurance this is an isolated incident wanatuambia wakati watu wanatupiana risasi mbele ya kadamnasi raisi alikuwa ana chat someone who is a nobody na hiyo ndio habari muhimu kwao.
Yaani eneo ambalo limejaza foreign embassies.Kipindi kile Wanajeshi wetu wameuawa Congo,Magu alikua zake ikulu na akaalika Matrafiki wa barabarani wakanywa na chai na chakula safi kabisa.Kazi iendelee.
Amesha zifariji, alafu sikia kwa mashuhuda tukio lilivyotokeaYaani eneo ambalo limejaza foreign embassies.
Eneo ambalo ni residential area
Njia ambayo inaunganisha city na suburbs god knows si ajabu karibu magari 1 yanapita hiyo barabara.
Tukio ambalo limegueza what a quite area into a temporary war zone.
Tukio ambalo unaona yule jamaa angeamua kuifyatulia ile daladala ambalo ilikuwa mbele yake god knows wangekufa wangapi
Tukio ambalo limeua polisi watatu in the line of duty; tena polisi wanaopelekwa on the firing line bila ya bullet proof vests.
Tukio ambalo watanzania wa nje na ndani ya nchi, nchi majirani wanalijadili na international news.
Halafu habari ya Ikulu ni raisi alikuwa anaongea na Raila Odinga; hata huko kenya hiyo sio news kwao, ila tukio la Dar itakuwa habari huko kwao..
Raisi hana muda wa kuzifariji ata hizo familia za askari waliopeteza maisha; something is amiss with you if you think it’s OK.