Ikulu, Dar es Salam: Rais Samia anawaapisha Majaji Wateule

Ikulu, Dar es Salam: Rais Samia anawaapisha Majaji Wateule

Huyu mama hana lolote, mtakuja kuona huko mbele. sawa hatakuwa katili kama Jiwe, lkn for the welfare of the naton hana lolote, Biswalo Mganga atamdefine hyu mama ni nani. Hizi ndizo serious issies zinazom define mtu......... Ni sawa na Nyerere, mtu "mwema" asingeliacha katiba ambayo anajua na aliikemea kuwa kichaa anaweza akaitumia akawa Dictator!
Biswalo amewahi kutiwa hatiani na chombo chochote?
 
Kwa mtazamo wangu sio vita ila ccm ndio wanifanya vita sisi CHADEMA na wao CCM sote tunataka ridhaa ya Watanzania Serikali ingeweka Uwanja sawa wa siasa halafu Watanzania waamue nani wanamtaka wala sio rocket science
Watanzania waamue mara ngapi?
 
Kwa mtazamo wangu sio vita ila ccm ndio wanifanya vita sisi CHADEMA na wao CCM sote tunataka ridhaa ya Watanzania Serikali ingeweka Uwanja sawa wa siasa halafu Watanzania waamue nani wanamtaka wala sio rocket science
😭
 
Biswalo amewahi kutiwa hatiani na chombo chochote?
ana tuhuma nzito and we start with tuhuma... from there we go to court...
Sawa na Sabaya, hajawahi tiwa hatiani, lkn tuhuma zake , akili ya kawaida inasema apishe uchunguzi!
 
Mnajua mnaandika kama vile wote waliomizwa na DPP aliyepita ni Chadema! Watanzania wengi sana wameumizwa na mamlaka iliyopita! Wanapotokea watu wanaopiga kelele ni kwa maslahi ya watanzania wote!

Wewe unayeshabikia ujue pia ipo siku utalia au ndugu yako au yeyote katika jamaa zako ataumizwa! Usiufurahie ubaya maana KARMA is Real! Itakupata tu siku!

Ukipewa mamlaka tenda haki! Ni kama mafuta kichwani mwako na kizazi chako! Laana za watu haziwezi kukuacha salama! Kama siyo wewe utashuhudia uzao wako ukiteseka! Ni hayo tu!!
Sifurahii mtu kuonewa. Ila mtu umeonewa bora ufungwe Mungu ajue umeonewa. Kwani Dpp alikuwa analazimisha kukubali makosa?
 
Kumbe Jaji mganga biswalo kawa jaji maalum kwa ajili ya CHADEMA?
 
ana tuhuma nzito and we start with tuhuma... from there we go to court...
Sawa na Sabaya, hajawahi tiwa hatiani, lkn tuhuma zake , akili ya kawaida inasema apishe uchunguzi!
Tuhuma zinabaki kuwa tuhuma tu!
 
Tanzania ni yetu sote sisi kama CHADEMA tunayo haki ya Kikatiba ya kufanya Siasa bila buguza au mnapenda

Mbina CCM mnalazimisha kuliongoza Taifa kwa nguvu wakati Wananchi hawawatakii
 
Back
Top Bottom