Ikulu, Dar es Salam: Rais Samia anawaapisha Majaji Wateule

Biswalo amewahi kutiwa hatiani na chombo chochote?
 
Kwa mtazamo wangu sio vita ila ccm ndio wanifanya vita sisi CHADEMA na wao CCM sote tunataka ridhaa ya Watanzania Serikali ingeweka Uwanja sawa wa siasa halafu Watanzania waamue nani wanamtaka wala sio rocket science
Watanzania waamue mara ngapi?
 
Kwa mtazamo wangu sio vita ila ccm ndio wanifanya vita sisi CHADEMA na wao CCM sote tunataka ridhaa ya Watanzania Serikali ingeweka Uwanja sawa wa siasa halafu Watanzania waamue nani wanamtaka wala sio rocket science
😭
 
Biswalo amewahi kutiwa hatiani na chombo chochote?
ana tuhuma nzito and we start with tuhuma... from there we go to court...
Sawa na Sabaya, hajawahi tiwa hatiani, lkn tuhuma zake , akili ya kawaida inasema apishe uchunguzi!
 
Sifurahii mtu kuonewa. Ila mtu umeonewa bora ufungwe Mungu ajue umeonewa. Kwani Dpp alikuwa analazimisha kukubali makosa?
 
Kumbe Jaji mganga biswalo kawa jaji maalum kwa ajili ya CHADEMA?
 
ana tuhuma nzito and we start with tuhuma... from there we go to court...
Sawa na Sabaya, hajawahi tiwa hatiani, lkn tuhuma zake , akili ya kawaida inasema apishe uchunguzi!
Tuhuma zinabaki kuwa tuhuma tu!
 
Tanzania ni yetu sote sisi kama CHADEMA tunayo haki ya Kikatiba ya kufanya Siasa bila buguza au mnapenda

Mbina CCM mnalazimisha kuliongoza Taifa kwa nguvu wakati Wananchi hawawatakii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…