Ni lazima atateua waziri mpya wa mambo ya ndani na alivyo msahaulifu Jiwe, anaweza mrudisha Mwigulu katika wizara hiyo ya ndani.......
Tunaomba link ya kuangalizia live streaming
Matangazo ya moja kwa moja kutoka Ikulu Jijini Dar es Salaam yatawajia muda mfupi ujao kupitia vyombo vya habari vya Redio, Televisheni na Mitandao ya Kijamii. Aidha, waweza kutazama kupitia Youtube ya IkuluMawasiliano.
View attachment 1332015
Hahahahahaaaaaaaa kwanza washamaliza. Hata vyombo vya habari hawajaambulia kitu. Haya nenda Pugu sasa.Ila awamu hii imetia fora kwa matangazo ya live. Mweh. Sasa hapa nilitaka niende Pugu. Ila itanibidi nibaki kwangu mbagala kusubiria live.
Sisi huwa tunabebwa kimihemko sana, hoja dhaifu zinabeba hoja nzito. Leo tupo busy na replacement ya Lugola badala ya kuhoji hiyo mikataba, hizo fedha na wahusika wafanyweje. Nchi ya ajabu sana hii.Hapa waTanzania tunapotezwa maboya, hoja ya msingi ni, HIZO TRILLION MOJA WALIZOKOPA ZIKO WAPI??! MBONA MNAKUWA MAPOYOYO HIVYO WATZ??!!
Mwigulu kumbe ndiye hufanya vitendo vya kitekaji?Mwigulu akirudishwa tutegemee vitendo vya kutekwa na watu kuopolewa kwenye viroba kupaa
Yaani ni as if kwamba kutumbuliwa ndio kunamaliza kesi ya hiyo mikataba, wakati ilipaswa wahusika washikiliwe hadi hatima ya hizo pesa walizokopa kinyemela ifahamike..Sisi huwa tunabebwa kimihemko sana, hoja dhaifu zinabeba hoja nzito. Leo tupo busy na replacement ya Lugola badala ya kuhoji hiyo mikataba, hizo fedha na wahusika wafanyweje. Nchi ya ajabu sana hii.
Huyu alianza kuua na kuteka toka akiwa UVCCMMwigulu kumbe ndiye hufanya vitendo vya kitekaji?