M-mbabe
JF-Expert Member
- Oct 29, 2009
- 13,203
- 23,027
can't agree more...Kampeni za uchaguzi zishaanza.
Wanaoondolewa wafunguliwe mashtaka pia, sio kuondolewa kazini tu.
Vinginevyo, wengine wataona unaweza kusaini mikataba mibovu, halafu ukapeta, ukishtukiwa unaondolewa kazini tu unaenda kula hela ulizokwiba.