Ikulu Dar: Rais Magufuli amemteua George Simbachawene kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Mussa Zungu apewa Wizara ya Mazingira

Ikulu Dar: Rais Magufuli amemteua George Simbachawene kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Mussa Zungu apewa Wizara ya Mazingira

[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Rugora... Rugora... Rugora.. And azaz..[emoji144][emoji144][emoji144]
Matangazo ya moja kwa moja kutoka Ikulu Jijini Dar es Salaam yatawajia muda mfupi ujao kupitia vyombo vya habari vya Redio, Televisheni na Mitandao ya Kijamii. Aidha, waweza kutazama kupitia Youtube ya IkuluMawasiliano.
View attachment 1332015

Jr[emoji769]
 
Ila awamu hii imetia fora kwa matangazo ya live. Mweh. Sasa hapa nilitaka niende Pugu. Ila itanibidi nibaki kwangu mbagala kusubiria live.
Hahahahahaaaaaaaa kwanza washamaliza. Hata vyombo vya habari hawajaambulia kitu. Haya nenda Pugu sasa.
 
Hapa waTanzania tunapotezwa maboya, hoja ya msingi ni, HIZO TRILLION MOJA WALIZOKOPA ZIKO WAPI??! MBONA MNAKUWA MAPOYOYO HIVYO WATZ??!!
Sisi huwa tunabebwa kimihemko sana, hoja dhaifu zinabeba hoja nzito. Leo tupo busy na replacement ya Lugola badala ya kuhoji hiyo mikataba, hizo fedha na wahusika wafanyweje. Nchi ya ajabu sana hii.
 
Sisi huwa tunabebwa kimihemko sana, hoja dhaifu zinabeba hoja nzito. Leo tupo busy na replacement ya Lugola badala ya kuhoji hiyo mikataba, hizo fedha na wahusika wafanyweje. Nchi ya ajabu sana hii.
Yaani ni as if kwamba kutumbuliwa ndio kunamaliza kesi ya hiyo mikataba, wakati ilipaswa wahusika washikiliwe hadi hatima ya hizo pesa walizokopa kinyemela ifahamike..
 
Back
Top Bottom