Nani kapelekwa mambo ya ndani?Sasa jamani huu waziri hadi kwa mzee wa kidosi kweli Kikwete katuachia janga.
Mshikaji wake Simbachawene. Hawa jamaa kuna kitu.Nani kapelekwa mambo ya ndani?
Kuna national interests and pride na personal interests and pride. Tunalisha familia na kushadadia vya kitaifa pia.Watu wanafurahia sana kuona waliokuwa na nafasi fulani wanaondolewa katika nafasi zao. Haitosaidia kuleta mkate kwa watoto. Tupambane na hali zetu. Tuachane kushabikia kutumbuliwa na kuteuliwa.
Mazingira nani kaenda?Mshikaji wake Simbachawene. Hawa jamaa kuna kitu.
HahahaHakika ukimsifia Jiwe hukosi chochote , baada ya Zungu kumsifia Rais pale Ukonga leo hatimaye naye aula .....
Vijana wa Lumumba msikate tamaa bado mna nafasi
Sent from my SM-J700H using Tapatalk
Mdosi wa IlalaMazingira nani kaenda?
Huyo ndiyo anawaunguza wenzake.Hivi Masauni kabakishwa??
Kapona aiseeKigwangala vipi kapona?
ππ sio vyema lakini kama unamzushia unajua?Huyu alianza kuua na kuteka toka akiwa UVCCM
Aje Tabora tulime tumbakuKigwanga analiwa Kichwa.
Maweeee for the first time kaulamba uwaziri.Tanzania kila kitu kinawezekana.Hivi Zungu kasoma chuo gani vile?Maana hii wizara ya mazingira ina changamoto pia.Mdosi wa Ilala
Huyo Lema ndio alioteshwa na Mungu kuwa Magu hafiki 2020π€π€Lema alimwambia mwaka 2018 kuwa mzee hizi ni Kama mbio za vijiti usijione umefika Sana akacheka kwa dharau na tumbo lake Kama pipa
Sipati picha unavyohara mda huu baada ya kugundua Mwamba Kigwa anarndelea kula bata. Ha ha ha ha uzee mwingine wa kujitakia!Sasa jamani huu waziri hadi kwa mzee wa kidosi kweli Kikwete katuachia janga.
Lema ni mganga wa kienyeji akisema jambo msikilizela sivyo utageuka jiweLema alimwambia mwaka 2018 kuwa mzee hizi ni Kama mbio za vijiti usijione umefika Sana akacheka kwa dharau na tumbo lake Kama pipa
Si anautwa Captain? Atakuwa ana taaluma ya ujeshi. Kwa Magu ukiwa mjeshi unamkosha zaidi kuliko msomi wa darasani.Maweeee for the first time kaulamba uwaziri.Tanzania kila kitu kinawezekana.Hivi Zungu kasoma chuo gani vile?Maana hii wizara ya mazingira ina changamoto pia.