Ikulu Dar: Rais Magufuli amemteua George Simbachawene kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Mussa Zungu apewa Wizara ya Mazingira

Ikulu Dar: Rais Magufuli amemteua George Simbachawene kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Mussa Zungu apewa Wizara ya Mazingira

Kampeni za uchaguzi zishaanza.

Wanaoondolewa wafunguliwe mashtaka pia, sio kuondolewa kazini tu.

Vinginevyo, wengine wataona unaweza kusaini mikataba mibovu, halafu ukapeta, ukishtukiwa unaondolewa kazini tu unaenda kula hela ulizokwiba.
 
Watu wanafurahia sana kuona waliokuwa na nafasi fulani wanaondolewa katika nafasi zao. Haitosaidia kuleta mkate kwa watoto. Tupambane na hali zetu. Tuachane kushabikia kutumbuliwa na kuteuliwa.
Kuna national interests and pride na personal interests and pride. Tunalisha familia na kushadadia vya kitaifa pia.
 
Rais amemteua Mussa Zungu kuwa Waziri wa Muungano na Mazingira na kumuhamisha George Simbachawene kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani.
 
Sasa jamani huu waziri hadi kwa mzee wa kidosi kweli Kikwete katuachia janga.
Sipati picha unavyohara mda huu baada ya kugundua Mwamba Kigwa anarndelea kula bata. Ha ha ha ha uzee mwingine wa kujitakia!
 
Lema alimwambia mwaka 2018 kuwa mzee hizi ni Kama mbio za vijiti usijione umefika Sana akacheka kwa dharau na tumbo lake Kama pipa
Lema ni mganga wa kienyeji akisema jambo msikilizela sivyo utageuka jiwe
 
Back
Top Bottom