Ikulu Dar: Rais Magufuli amemteua George Simbachawene kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Mussa Zungu apewa Wizara ya Mazingira

Kampeni za uchaguzi zishaanza.

Wanaoondolewa wafunguliwe mashtaka pia, sio kuondolewa kazini tu.

Vinginevyo, wengine wataona unaweza kusaini mikataba mibovu, halafu ukapeta, ukishtukiwa unaondolewa kazini tu unaenda kula hela ulizokwiba.
can't agree more...
 
Si anautwa Captain? Atakuwa ana taaluma ya ujeshi. Kwa Magu ukiwa mjeshi unamkosha zaidi kuliko msomi wa darasani.
Hata Gadner G Habashi anaitwaga Captain,inawezekana akakumbukwa kwny teuzi hizi.

dodge
 
Finally Bwana Zungu Ateuliwa Kuwa Waziri Leo hii

Rais Magufuli amemteua Mussa Azzan Zungu kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira akichukua nafasi ya Simbachawene.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Simbachawene ni jembe sema Magufuli hajui tu kazi kumsumbua sumbua tu kiholela holela.
Huyu jamaa akikaa kwa kutulia wizara hii wafungwa wataanza kulala juu ya vitanda na unaa wa wajelajela utapungua
 
Hata hivyo kwa hulka ya Magu kamchelewesha sana Zungu. Nadhani kwenye ile kamati ya kuchunguza Tanzanite alikuwa kabaki peke yake. Wengine nadhani walishaula na sasa wanasaza tu.
 
Huyo ndiyo anawaunguza wenzake.
Na yeye Magu akishawahi kumchoma pale CCP kwny mafahari alimwambia 'Wewe Masauni najua ulikua unataka kuwachomeka watu wako ndani ya polisi bila kupitia JKT nimesema marufuku kuingiza watu wako'.

dodge
 
Hata hivyo kwa hulka ya Magu kamchelewesha sana Zungu. Nadhani kwenye ile kamati ya kuchunguza Tanzanite alikuwa kabaki peke yake. Wengine nadhani walishaula na sasa wanasaza tu.
Alimtajataja kumbe alikuwa ashamuandaa
 
Zungu alipaswa apewe Mambo ya Ndani
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii Panga Pangua Hata sio Nzuri
Simba chawene Hata Mwaka Hana Wizara ya Mazingira kapelekwa kwingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…