Ikulu Dar: Rais Magufuli amemteua George Simbachawene kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Mussa Zungu apewa Wizara ya Mazingira

Hivi Mh. Rais aliposema amehamia Ikulu ya Dodoma alikuwa anamaanisha Ikulu ya Dodoma iliyoko Magogoni Dar es Salaam au?
Maswali.mengine bhana, mpaka mtu unajiuliza haivi anaeuliza swali anakuwa amelewa au. Sasa ndio ulikuwa unataka dar asije kabisa wala asilale hata siku moja ikulu ya dar. Dah tuna safari ndefu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Teua, tengua, ishakuwa ilani ya jiwe

Sent using Jamii Forum's by simcard
Ni nzuri. Inasaidia watu wasibweteke na kudhani cheo ni ulaji. Maslahi ya nchi kwanza.

JK aligutuka mwishoni. Akapangua ma DC nchi nzima usiku mmoja. Too late.

NB: Wanaotunga mitihani ya Civics/Uraia wabadili aina ya maswali 😁
 
Huyu jamaa hii tengua yake sasa itafika mahali pabaya.....

Huwa anasahau kuwa anapowatengua hao jamaa, ambao baadaye anawateua tena huwa anawakashifu sana!
 
Jaman nadhani wakati umefikia kujua CV ya Zungu
Mkuu alimnukuu mida fulani pale kwenye ufunguzi wa Majengo.
Lakini pia kwenye tume ya makinikia Zungu alionekana kama Mhusika bapa maana nakumbuka kama ndie aliesoma ile riport fulani
Mwenye CV yake tafadhari
 
Halafu Zungu si alikuwa team Lowassa wa kufa kabisa!
mkuu naona unataka kutia mchanga kitumbua cha mzee wa watu....

Sent from my SM-J700H using Tapatalk
 
Maswali.mengine bhana, mpaka mtu unajiuliza haivi anaeuliza swali anakuwa amelewa au. Sasa ndio ulikuwa unataka dar asije kabisa wala asilale hata siku moja ikulu ya dar. Dah tuna safari ndefu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Muda mwingi yupo Dar kuliko Dodoma ndo maana jamaa anauliza
 
Lugola Nampenda sana Nani Mwanafunzi Wangu Usione Huo Mwili Mkubwa Lkn Nimemfundisha Mm Lkn Kwa hili Hapana

Kunasiku Nilisema Ukiona Mwenzio Ananyolewa Zako Tia Maji Magu Hazoeleki Kuwa Karibu Nae Sio Sababu Ya Kinga Kubaki Madarakani


Olewao Walio Kashfu Wenzao Pindi Wananyadhifa Leo Zimekwenda Na Maji
Sijui wataambia nn watu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…