Maswali.mengine bhana, mpaka mtu unajiuliza haivi anaeuliza swali anakuwa amelewa au. Sasa ndio ulikuwa unataka dar asije kabisa wala asilale hata siku moja ikulu ya dar. Dah tuna safari ndefu sanaHivi Mh. Rais aliposema amehamia Ikulu ya Dodoma alikuwa anamaanisha Ikulu ya Dodoma iliyoko Magogoni Dar es Salaam au?
Sent using Jamii Forums mobile app