Ameandika kwa kikurya na wewe umeandika kiswahili,so shida ipo kwako kushindwa kusoma katikati ya mistari= Lugola
= Lugola
= Lugola
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Hakika ukimsifia Jiwe hukosi chochote , baada ya Zungu kumsifia Rais pale Ukonga leo hatimaye naye aula .....
Vijana wa Lumumba msikate tamaa bado mna nafasi
Sent from my SM-J700H using Tapatalk
Zungu msela na mtu poa sana. Nakumbuka miaka ya zamani aliipiga tafu timu yetu ya kitaa kwenye michuano ya copa cocacola pale Karume.. Tukale nae mbuzi choma kiroho safi.. Msela kweli yaani halafu ukimletea uduanzi anatukana balaa!Dah zunguuu!
Zungu mtu wa watu bhana halafu hana makuu yupo low...!
Biography ya Zungu haizidiani na Lukuvi halafu watu kama hawa ndo wachapakazi kwelikweli na wana deliver poa sana kuliko hata hii mijamaa yenye Phd na Prof.
Chapa kazi Zungu mdaresalama pita mulemule alimopita comrade JKikwete katika kutuunganisha na wenzetu Wazanzibar.
Good Comment.Dah zunguuu!

How?Aisee... Naanza kuamini kweli ndumba zipo
Leo tuwahi Ilala maana jamaa leo atapombeka balaa. Jamaa hanaga soo kabisa full msela. Victoire leo napiga vyombo kwa msela Zungu nikirudi usizingue.Zungu msela na mtu poa sana. Nakumbuka miaka ya zamani aliipiga tafu timu yetu ya kitaa kwenye michuano ya copa cocacola pale Karume.. Tukale nae mbuzi choma kiroho safi.. Msela kweli yaani halafu ukimletea uduanzi anatukana balaa!
Nani alikudanganya?Ameandika kwa kikurya na wewe umeandika kiswahili,so shida ipo kwako kushindwa kusoma katikati ya mistari
Nani alikudanganya?Ameandika kwa kikurya na wewe umeandika kiswahili,so shida ipo kwako kushindwa kusoma katikati ya mistari
Muache ale ale hapo mkuu. Kasifia sana halafu kwa Magu hakunaga kazi ya maana kiviiilee. Si unaona Kigwa daily yupo mahotelini na anaitwa mchapa kazi? Kwa Magu wewe pita pita tuu na kusifia.Duuh! Mzee wa miaka68 anaendelea kupiga kazi atastaafu lini
Hapa waTanzania tunapotezwa maboya, hoja ya msingi ni, HIZO TRILLION MOJA WALIZOKOPA ZIKO WAPI??! MBONA MNAKUWA MAPOYOYO HIVYO WATZ??!!