Ikulu Dar: Rais Magufuli amemteua George Simbachawene kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Mussa Zungu apewa Wizara ya Mazingira

Dah zunguuu!
Zungu mtu wa watu bhana halafu hana makuu yupo low...!

Biography ya Zungu haizidiani na Lukuvi halafu watu kama hawa ndo wachapakazi kwelikweli na wana deliver poa sana kuliko hata hii mijamaa yenye Phd na Prof.
Chapa kazi Zungu mdaresalama pita mulemule alimopita comrade JKikwete katika kutuunganisha na wenzetu Wazanzibar.
 
Zungu msela na mtu poa sana. Nakumbuka miaka ya zamani aliipiga tafu timu yetu ya kitaa kwenye michuano ya copa cocacola pale Karume.. Tukale nae mbuzi choma kiroho safi.. Msela kweli yaani halafu ukimletea uduanzi anatukana balaa!
 
Good Comment.
 
Hivi Raisi hunion au?kila Mara nakusifia mtaani,hao wasaidizi wako wanakupotosha ndo maana kila Mara unatumbua kwa sababu watu makin tunaachwa wanakuletea watu wao.
 
Zungu msela na mtu poa sana. Nakumbuka miaka ya zamani aliipiga tafu timu yetu ya kitaa kwenye michuano ya copa cocacola pale Karume.. Tukale nae mbuzi choma kiroho safi.. Msela kweli yaani halafu ukimletea uduanzi anatukana balaa!
Leo tuwahi Ilala maana jamaa leo atapombeka balaa. Jamaa hanaga soo kabisa full msela. Victoire leo napiga vyombo kwa msela Zungu nikirudi usizingue.
 
Back
Top Bottom