fimboyaasali JF-Expert Member Joined Jan 14, 2011 Posts 8,617 Reaction score 8,244 Jun 1, 2021 #41 Hakimu Mfawidhi said: Mama anakutana kila siku na makundi mbalimbali ya watu. Ni muda muafaka sasa aanze ziara ya kukutana na wananchi. Hayo makundi sio yaliyompigia kura kama makundi. Aende kwa wananchi. Click to expand... Ratiba ya mama anayo mwenyewe anajua anafanya nini
Hakimu Mfawidhi said: Mama anakutana kila siku na makundi mbalimbali ya watu. Ni muda muafaka sasa aanze ziara ya kukutana na wananchi. Hayo makundi sio yaliyompigia kura kama makundi. Aende kwa wananchi. Click to expand... Ratiba ya mama anayo mwenyewe anajua anafanya nini
Mwanamageuko JF-Expert Member Joined Oct 31, 2010 Posts 8,604 Reaction score 5,583 Jun 1, 2021 #42 coolboyjsen said: hamna hata picha Click to expand... Mkuu chema ni taarifa huu si muda wa mapambio na matarumbeta... kazi inaendelea...
coolboyjsen said: hamna hata picha Click to expand... Mkuu chema ni taarifa huu si muda wa mapambio na matarumbeta... kazi inaendelea...