Ikulu, Dar: Rais Samia aongea na viongozi wa Machinga Dar es Salaam. Machinga Watambuliwa kama kundi Maalum

Sioni kama ni kosa kwa Rais kukaa chini na machinga kama jamii yenye watu wengi....Lengo ni kujadili na kusikia kero zao kutoka kwenye ground then waone namna bora ya kutatua..
Hamna wamachinga hapo, kero zao wamesemewa na Mkuu wa mkoa
 
Anasema vitambulisho vipya vya wamachinga vitakuwa vya gharama sana ....tujiandae kupigwa kwenye hivyo vitambulisho ,huyu mama huyu ....
 
Ndugu zangu wamachinga Dar na nchi nzima. Je, huyo jamaa yenu mlimtuma wenyewe aseme??

"Steven Lusinde, M/mwenyekiti wa Wamachinga taifa

Kwenye hotuba yako Mh. Rais uliagiza Wamachinga tupangwe vizuri. Jambo lile lilitupeleka mchakamchaka kidogo. Sasa tumepangana vizuri na mambo yamekwenda kama tulivyotarajia..."
 
Ma dc,rc na viongozi wengine wa serikali na ni wengi kuliko wahusika wa huo mkutano.
 
Kaongea kwa upole, tumpe kura zetu.
 
Kaongea kwa upole, tumpe kura zetu.


Kwa hiyo anashukuru watu kuvumilia maumivu ya kubomolewa, kuibiwa na kuchomewa mali zao??
Kauli ya kifedhuli sana hii. Na wewe pamoa na wenzako mtampa kura
 
Sioni kama ni kosa kwa Rais kukaa chini na machinga kama jamii yenye watu wengi....Lengo ni kujadili na kusikia kero zao kutoka kwenye ground then waone namna bora ya kutatua..
Tofautisha kukaa kujadiliana na kukaa kusikiliza .
 
Kazi iendelee mama tafadhali tatua kero za vijana hao walioamua kujiajiri
 
Mama malori kariakoo ndio shida mpya iliyopo sasa hivi,
Jiji wanapiga hela nyingi sana kwa kuwaruhusu wenye malori kariakoo
Wafunge na kuharibu barabara zilizojengwa kwa gharama nyingi,
Machinga munawaonea tu
 
Wanasisiemu wakidai ni viongozi wa machinga.
 
Mwenyekiti wa wamachinga Tanzania yuko Mkoa wa Arusha, Leo mbele ya Rais kaibuka mtu mwingine anasema ni Mwenyekiti wa wamachinga Tanzania. Hii imekaaje?
 
Mwenyekiti wa wamachinga Tanzania yuko Mkoa wa Arusha, Leo mbele ya Rais kaibuka mtu mwingine anasema ni Mwenyekiti wa wamachinga Tanzania. Hii imekaaje?
wababaishaji tu hao wana create tatizo na kujifanya wamekuja na jibu....
huyu mama anaona sasa ameshikwa na wahuni nyie , namhurumia sana huyo mama
 
Sasa machinga wanaweka kwenye wizara ya wazee jinsia wanawake na watu maalam ikiwa wale ni wafanyabiashara wanatamani kukua.

Muda huo huo una waita wafanya biashara na mabenki watoe pesa kuwatia mikopo.

Muda huo mmeruhusu waanze ujenzi wa vibanda pale karume ikiwa Rc makala kaambiwa atafute kandarasi na soko litajengwa.

Nchii hii ya ccm ina kazi nzito sana kufika kila mtu anapo tarajia.

Ujenzi wa soko na kutafuta kandarasi kuna familia ndio zinauaga umasikini
 
Aidha, amemuagiza Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kutafuta mkandarasi atakayejenga soko eneo la Jangwani, na baada ya hapo, ujenzi wa Soko la Karume utafuata.

Mmmh!!! Jangwani tena??

Kwa nini wasitumie lile eneo la UDA ilipo karakana ya mwendokasi sasa, na hao BRT wakaenda Ubungo pape wanajengewa
 
Mwenyekiti wa wamachinga Tanzania yuko Mkoa wa Arusha, Leo mbele ya Rais kaibuka mtu mwingine anasema ni Mwenyekiti wa wamachinga Tanzania. Hii imekaaje?
Yupo Arusha kikazi?? Hivi hua ni yupi?? Lakini hapo alisimama makamo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…