Ikulu, Dar: Rais Samia aongea na viongozi wa Machinga Dar es Salaam. Machinga Watambuliwa kama kundi Maalum

naona mnaendelea kupractise suala la kuleta tatizo na kulitafutia majibu!!!
Time will tell bros....
Ukiona Kiongozi wa Serikali anafanya mambo yasiyo na maana katika jamii halafu unashindwa kukemea kwa sababu ni wa dini yako au kabila lako basi jua wewe ni mtu hatari sana kwa ustawi wa Nchi na usalama wake.Tuna viongozi wa aina hiyo sasa.Hawa lazima wakemewe kwa sauti kuu.

Majoka ya mdimu akina ZZK wamo!! humu!!
 
Hii itasaidia ku deal na ishu zao vizuri sio kila sehemu wanaenda Halmashauri mara viwanda nk.

Hapa sasa serikali iandae Mfuko wa kusaidia hayo makundi,ile 10% ya Halmashauri iende moja kwa moja kwenye huo Mfuko utakaokua unaratibiwa na hiyo wizara ..

Pesa hizo zitasaidia kuwakopesha na kuwajengea masoko mazuri.
 
Rais asiiahie hapo,ile 10% ya mapato ya ndani kwa kila Halmashauri iingie kwenye Mfuko utakaoratibiwa na hii wizara Ili wakopeshwe na wajengewe masoko ya uhakika.
Hapana... 10% ya halmashauri haitoshi, ni kiduchu sana. Iongezwe alafu ibaki pale pale kwa matumizi yaleyale ya makundi maalum.
Napendekeza jukumu la kusaidia kundi la machinga liwe chini ya wizara ya fedha, viwanda, biashara n.k
 
Tuna rais kilaza hajawahi kutokea! Hivi leo amezungumza nini na lengo lake lilikuwa nini? Kutafuta umaarufu kwa watua aliowatesa kwa nguvu zote? Huyu ni kama papyrus anasukumwa na upepo!
Sijuhi kama alikumbuka kutumia dawa zake leo. Nilichogundua hakufanya homework kabisa...
 
Mmmh!!! Jangwani tena??

Kwa nini wasitumie lile eneo la UDA ilipo karakana ya mwendokasi sasa, na hao BRT wakaenda Ubungo pape wanajengewa
Jangwani panatakiwa kuboreshwa. Maji yale yanahitaji kutengenezewa matumizi mbadala na bora zaidi.
Tofauti na hapo ipo siku jiji la Dar litazama ndani ya maji!
 
Tuna rais kilaza hajawahi kutokea! Hivi leo amezungumza nini na lengo lake lilikuwa nini? Kutafuta umaarufu kwa watua aliowatesa kwa nguvu zote? Huyu ni kama papyrus anasukumwa na upepo!

Hivi si walikuwa wanadai JK na Dr. H Mwinyi wapo kwenye kivuli chake... Sasa mbona anademka ovyo hivi??
 
Jangwani panatakiwa kuboreshwa. Maji yale yanahitaji kutengenezewa matumizi mbadala na bora zaidi.
Tofauti na hapo ipo siku jiji la Dar litazama ndani ya maji!

Walifukua ule mto pale, wakatoa michanga kuruhusu maji yapite...
 
Hapana... 10% ya halmashauri haitoshi, ni kiduchu sana. Iongezwe alafu ibaki pale pale kwa matumizi yaleyale ya makundi maalum.
Napendekeza jukumu la kusaidia kundi la machinga liwe chini ya wizara ya fedha, viwanda, biashara n.k
Ikiwa consolidated na Serikali kuongeza vyanzo kutakuwa na mapato,mathalani masoko ya machinga yatakayojengwa yatakuwa vitega uchumi vya Mfuko kuutumisha zaidi.

Pesa huwa haitoshi, Unadhani asilimia10% ya bil.40 ni Bei gani? Tuna Halmashauri zaidi ya 180 na yenye mapato ya chini ni mil.500.
 
Mama tafadhali usije kuingia ubaridi ukaruhusu hawa watu wajae mabarabarani tena kwa kipigiwa makofi. Tafadhali sana mama soma hii msg. Hawa jamaa wameshajipanga vizuri wanaendelea
Wamejipanga wapi au umeshiba ubwabwa wa bure kwa shemeji yako
 
Nimegundua viongozi wa machinga ni watu wapumbavu.
Sasa mambo ya kwenda na mama 2025 yanahusikaje hapo?
Acha wajichekeshe tu huko ,hali halisi Iko huku chini duniani tuliko na si Magogoni
 
Walifukua ule mto pale, wakatoa michanga kuruhusu maji yapite...
Ule ufukuaji ni wa kitoto sana...! Ebu google uone duniani wengine wanayatumiaje maeneo kama yale yakiwa kwenye majiji yao!
Fuatilia hata Nairobi Uhuru park ujionee!
Kwa ukubwa wa lile bonde wanaweza kutengeneza amusement park ya maana sana!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…