IKULU, Dar: Rais Samia na Freeman Mbowe wakutana na kufanya mazungumzo leo Mei 9, 2022

IKULU, Dar: Rais Samia na Freeman Mbowe wakutana na kufanya mazungumzo leo Mei 9, 2022

Hata uhuru lilikuwa jambo la Watanganyika wote lakini kulikwepo na viongozi km Nyerere, Kawawa, nk. Kama haujui hata dhana rahisi kama hii, sina hata haja ya kukujibu.
Kama unadhani swala la katiba mpya ni jambo binafsi la Mbowe na Chadema na kuonea huruma.
Katiba mpya ni utetezi wa wananchi na kutopatikana Kwake ni hasara kwa mwananchi
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya mazungumzo tarehe 09 Mei, 2022.

Kuna wanaharakati njaa kule Twita wamechukia sana kuona hizi picha😅
Hata wewe msoga gang umechukia
Kuna wanaharakati njaa kule Twita wamechukia sana kuona hizi picha😅
 
Ayatollah anapaswa kuelewa yeye anadharaulika sana sababu ya undumilakuwili.

Ni heri ukae ma adui yako karibu kuliko ndumilakuwili asie na misimamo
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya mazungumzo tarehe 09 Mei, 2022.

Rais Samia: Niliambiwa watakaokuangusha ni hawa hawa KIJANI wala siyo Wapinzani!​

Ni kweli toka mwanzoni mwa maisha yake ya kisiasa, Mh. Samia Suluhu Hassan alikwisha sema anaguswa na namna ya uzalendo wa kweli jinsi wapinzani wanavyo wakilisa hoja za matamanio ya wananchi tofauti na ndumakuwili waliovaa mashati ya kijani wa CCM:

17 Feb 2020
Samia Suluhu : "Napenda mawazo ya wapinzani, huwa wanajenga hoja vizuri, walini 'inspire' niingie siasa"

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amefunguka kuhusiana na historia ya maisha yake ambapo ameeleza siri ya mafanikio na chanzo kilichomvutia kuingia kwenye siasa. Samia Suluhu anaona hoja za upinzani ni moto, zimejaa mantiki kuliko za mawaziri wa serikali ya CCM , hivyo walinivutia / inspire, mimi ni activist ... kuingia siasani baada ya kuona majibu na hoja za upande wetu (CCM) hazina uhalisia na hazijibu maswali ya wananchi ....

Kwa habari hii kuna watu Lumumba leo hawajalala - wamenuna balaaa !! 🙂🙂🙂
 
Back
Top Bottom